Sijaoga siku mbili...

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Kutokana na mishemishe za English Premier League wikiendi hii, pamoja na AFCON 2012 iliyoanza rasmi J'mosi, nikajikuta sijaoga tangu IJUMAA... Usiulize wapi, Dar hiyo! Tena hukuhuku katikati ya mji, na joto balaa.
Basi ile kuingia kwa bafu (lenye miksa choo humohumo), nikataka nighairi kuoga afta gogo heavy, lakini nikapiga moyo konde! Potelea mbali...
Nikaoga kiroho ngumu, kila nikipaka sabuni, kitu kinadunda, utadhani niko Tabata naogea maji ya chumvi. Mwisho wa siku ndoo ya maji ikakata kabla nitakate.
Ila nikamshukuru Mungu kwa kuwa zoezi lilikamilika, ila dah?
Nahisi nimepungua mwili...
 
Halafu mna lalamikia ubaguzi thread yako isipochangiwa au ukikemewa ujirekebishe!!

Sijui itawezekana kutengenezewa sub-section nyingine under chit-chat ya trash!

jamani?
Kwa hiyo kusema ukweli imekuwa nongwa? Tatizo mshazoea kudanganywa...
 
Umekuwaje siku hizi? Mphamvu ninaemfahamu mimi sio huyu au kuna mtu anatumia id ya Mphamvu pasipo yeye kujua? Badilika bana, uwe kama zamani!
 
Umekuwaje siku hizi? Mphamvu ninaemfahamu mimi sio huyu au kuna mtu anatumia id ya Mphamvu pasipo yeye kujua? Badilika bana, uwe kama zamani!

dah?
Nianzishie thread basi...
 
Back
Top Bottom