Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,138
Kuna member wa kike kanizimia kitambi na macho yangu..sasa ananitaka na mimi siku zote wanawake wa humu ni masista wangu hata Faizafoxy...sasa huu si mtihani?.niendele au nidumishe udada?