JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
ALL HAVE A GOODDAY
2 Reactions
20 Replies
2K Views
asubuhi sanaaa dingi mmoja m2 mzima anaoneka kushikwa na hasira sana huku mkono wa kulia kashika furushi la bakora na kushoto kamshika kuku,mara jirani yake anatokea na kumkuta katika hali hiyo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
JB Mpiana anogesha Birthday ya Mose Katumbi Chapwe … December 28, 2011 Mwanamuziki PAPAA CHERIE,MUKULUMBA,MOTO PAMBA,BINADAMA,SALVATORY...
1 Reactions
27 Replies
10K Views
"hivi we "PIMBI"Nani?anayekuchanganya uko JF?tangu Asubui paka saa sita za Usiku uko Jf,ok chaguwa moja unipe User name na paswedi?au uendele na Ujinga wako unaoitwa Jf?",Jamani naombeni msaada...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
the president was having sex with his wife while thinking the name to give his country..sudenly the wife asked.. IS IT IN DEAR..the president replied yes it is INDIA
1 Reactions
20 Replies
4K Views
"Jamani nimeibiwaa!!" Kwa kingereza ningesemaje?
0 Reactions
22 Replies
2K Views
One night, President Obama and his wife Michelle decided to do something out of routine and go for a casual dinner at a restaurant that wasn’t too luxurious. When they were seated, the owner...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Inakuwaje mbona pamepowa humu ndani jamani,niaje niaje?au kisa Mpolee ayupo?naona pako dolo...ile mbayaaa yanii,watu cjui wamelala...siwasomi kabisa yani wajanja wa Chit Chat mko wapi?naona kambi...
0 Reactions
47 Replies
3K Views
1. Mzee mmoja aliingia kwa daktari na kuanza kulalamika. "Daktari, mimi nina matatizo. Cha kwanza, ninakwenda vizuri bila shida. Cha pili, ninaanza kujisikia kuchoka. Cha tatu, ninakuwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mtoto mmoja alipoteza yeboyebo hivyo akawa analia njiani kuelekea kwao akakutana mzee akamuuliza: Mzee: unalilia nini mtoto mzuri? Mtoto: (huku akigugumia kwa kilio) nimepoteza yeboyebo zangu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
naibu waziri wa biashara na viwanda yasemakana sio raia wa tanzania wana jf mnasemaje
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Elvis prisley,John kennedy, Robert kennedy,chacha wangwe,dr Omar ali Juma,brenda fassie ,michael jackson,kim jong il,Tupac shakur Amina chifupa..the list goes on .....why .Today Regia Mtema RIP.
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Jamani wanajamii mimi naona muda unaisha na watu wanaanza kuzeeka juzi juzi tu tulikuwa na mzee wa ruksa Mh Mwinyi tukaja tukawa na Mh. Mkapa akamaliza miaka kumi yake leo tuko na Kikwete ambaye...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
mkuu Buchanan aksante manake nilijua Id yangu kwisney'''kazi inaendelea kama kawaida
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna ukweli wowote eti ukiwa Mheshimiwa pale mjengoni nilazima uwe umekamilika lazima uwe na Capacitor??(HIRIZI)ya ukweli Vinginevyo haliyako inaweza kuwa mbaya!:alien:
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Unaamini ukituma sana sms zile wanazokata wastani wa shilingi mia tano au ile inayokaribia karibia utashinda? Hujaskia kesi kama vile mtu anachonga na wafanyakazi wa huko ili utangazwe mshindi...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimekuwa nabadilisha sana avatar kwa sababu mbalimbali zikiwemo kufanana na baadhi ya watu na wakati mwingine kutozipenda zile nilizoweka baada ya muda. Sasa naomba msaada wa mawazo wa avatar...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi binadamu wa kawaida unapata wapi muda??kuandika ulichokiandika na mwisho ukakumbuka kuweka neno,MIA,MX,NALOG OFF!!Kwa ninavyojua siyo kwamba umetengeneza kama sign yako bali nilazima uandike...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Nilikua sijapata ukweli kuhusu mtu ninayeishi nae nimeujua natamani nihame nyumba kwani nahisi akijua nimejua sina changu.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimeshindwa hata kulala namuwaza huyu mtu!Nachoomba ni kimoja tu kutoka kwake,ataje jinsia yake kama ni mwanamke nitaendelea kumuapreciate kama kawaida, na kama ni mwanaume walahi tena napeleka posa.
4 Reactions
354 Replies
17K Views
Back
Top Bottom