Golden Mpoleee toka ndoto ya Ubunge hadi uhalisia wa kua DAKTARI!

Golden Mpoleeee

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
572
206
Golden Mpoleee alikua na nia ya kuwasimamia wananchi waweze kupata haki zao ili walau maisha bora yawe kwa kila mtanzania. ubunge mgumu ndg zang. siasa wametawala wanaume tu huko juu na wanawake waliop wachache wana sauti, si nikapata appointmnt ya kuongea na mkubwa mmoja jins ya mm kuweza anza jiandaa kupata ubunge. lah haula wa la kwata! eti mpaka niwe mbunge itatakiwa nilale na kila mkubwa ninae kua nae na appointment la sivo niwe mvumiliv nisubiri ni mama mtu mzima kama zakia ndio nipate kwa utashu wang. nikase No way! Golden mpolee is golden. hawez uza utu wake kijinga hivi. Kwa majonzi makubwa natangaza rasmi. nimeamua kua daktari sbb nina akili sana na hua nashika top 3 katika wanafnzi 207. bora nieleme huko na ole wao hao wakubwa waje waombe niwatibu!


Golden Mpoleee. Docta mtarajiwa. mzuri na mpole.
 
Back
Top Bottom