Simba Duma ataka kufanya mapenzi na Binadamu-Anahadithia mhusika kisa cha kweli. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simba Duma ataka kufanya mapenzi na Binadamu-Anahadithia mhusika kisa cha kweli.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Midavudavu, Jan 27, 2012.

 1. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamaa mmoja wa Mtwara alikwenda Nchini msumbiji kutafuta dawa ili amkomeshe jirani yake ambaye alikuwa na tabia ya kufanya mapenzi na mkewe. Alifanikiwa kupata dawa hiyo na kugeuzwa Simba ili amrarue jirani yake. Mkaganga akamuagiza kuwa akisha mrarua mbaya wake usiku huo huo arudi haraka kabla jua halijatoka. Jamaa wakati anarudi kwa mganga ili arudie hali yake ya ubinadamu akakutana na simba kweli Dume, basi acha lianze kumparamia mgongoni. Kila likimparamia jamaa anaficha mgongo kwenye mti hadi asubuhi yule simba dume alipoondoka. Jamaa akaenda kwa mganga kukiwa kumekucha, mganga kamuuliza mbona umechelelwa kurudi?. Akamjibu nilikutana na simba njiani kanisumbua sana. Mganga akamwambia nilikugeuza kutoka ubinadamu ukawa simba jike hivyo, Simba dume alikuwa anataka kukupanda.
   
 2. M

  MUMY A JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  looo..angeliwa inshu...tena na mashine ya simba mbona angekoma!!!
   
 3. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  :hail::hurt:
   
Loading...