Mtoto na ukimwi

Mtoto na ukimwi

Nambe

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
1,451
Reaction score
534
Jamaa mmoja alikuwa anaambiwa kila siku na wazazi wake bwana mwanao huyu amekuwa mkubwa msilale nae tena kitanda kimoja jamaa anadai dogo bado hajui ki2 bac siku moja jamaa na mke wake wakaenda na mtoto kwenye semina ya ukimwi, mtoto alikuwa kimya kweli akisikiliza, wakarudi nyumban usiku jamaa mke na mwanae wakalala, sasa mtoto alikuwa amelala katikati yao, jamaa aksubri kama nusu saa hv akaamini mwanae keishalala, sasa akawa anapeleka mkono kwa mkewe anataka mambo flan ghafla mtoto akadaka mkono wa baba ake na kumwambia enhe we baba unataka kumpa mama ukimwi eeeeh.................jamaaa kuona vle hakusubr hata asubuh akaenda kununua godoro na kumuhamisha mtoto chumbani, watoto bwana waone hvhv......................
 
kwahiyo huo mkono ndo unaambukiza ukimwi auu??????????
 
kuna maduka yanuza magodoro usiku? Jifunze kudanganya mkuu!
 
sasa hata wakimuwekea godoro lake mambo yakinoga mtoto si atasikia tu. Huyo anatakiwa awe analala chumba chake.
 
Back
Top Bottom