Mpoto Kaiba Stori za JF ndani ya Clouds

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
Leo kwenye kipindi cha PB na G. Hando, ile story ya JF imesimuliwa na gwiji la Muziki Mrisho Mpoto, naona jamaa kaichukua kama ilivyo toka JF.
Inahusu yule bibi aliyechezea nyeti za mkurugenzi wa Bank moja maarufu, huku kijamaa cha nyuma yake kikimwaga machozi, yule mkurugenzi kuona vile kaanza kushangaa na kuuliza kulikoni, kale kabibi kakamueleza kwamba nishamla milioni 400 kwani alinibishia kwamba siwezi kuchezea korodani za mkurugenzi wa bank kubwa...ngoja niitafute ile link nitaiweka, au kama mwenye nayo aiweke tafadhali

Kweli JF ni noma manake watu wanapatia umaarufu kutoka humuhumu, ingawa hawasemi hizo story wamezitoa wapi.

Hii hapa....https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/197633-bibi-nomaaaa-cheka-upasuke.html
 
hata huyo aliyeileta JF hajaianzisha yeye!!!JF noma ila MTAA ndo noma zaidi kwani story kama hiyo na zinginezo huanzia mitaani!
 
Waseme kweli wachekwe! Ngoja tuwatafunie wao wameze! Tungoje mwenye link na hiyo story ataimwaga!
 
Naendelea kuitafuta hiyo link...Gerald nusu atoe mbavu...sijui kwanini hawapitii JF kuona hii kitu
 
ndio nilimsikia asubuhi,jerad hando kajifanya kucheka sana,kumbe hamna kitu pale
 
Leo kwenye kipindi cha PB na G. Hando, ile story ya JF imesimuliwa na gwiji la Muziki Mrisho Mpoto, naona jamaa kaichukua kama ilivyo toka JF.
Inahusu yule bibi aliyechezea nyeti za mkurugenzi wa Bank moja maarufu, huku kijamaa cha nyuma yake kikimwaga machozi, yule mkurugenzi kuona vile kaanza kushangaa na kuuliza kulikoni, kale kabibi kakamueleza kwamba nishamla milioni 400 kwani alinibishia kwamba siwezi kuchezea korodani za mkurugenzi wa bank kubwa...ngoja niitafute ile link nitaiweka, au kama mwenye nayo aiweke tafadhali

Kweli JF ni noma manake watu wanapatia umaarufu kutoka humuhumu, ingawa hawasemi hizo story wamezitoa wapi.

Hii hapa....https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/197633-bibi-nomaaaa-cheka-upasuke.html

Hiyo ni Joke ya siku nyingi sana, mimi nnaijuwa miaka 30 nyuma. Hata huyo aliyoileta JF pengine hajazaliwa au alikuwa bado anavaa nepi.
 
Mdau SI KWELI kwamba story hiyo imeanzia JF, ni jokes za mtandaoni LONG TIME kitambo. unless wewe ni Mtanzania, ambao kwa kawaida si wafuatiliaji makini.
 
Hiyo ni Joke ya siku nyingi sana, mimi nnaijuwa miaka 30 nyuma. Hata huyo aliyoileta JF pengine hajazaliwa au alikuwa bado anavaa nepi.

SIDHANI ...WEWE FF seems "too much knw".....et list u pretend to knw everythng...mh am doubt on u!! Mbona hukuileta hapa Jamvini??
 
Leo kwenye kipindi cha PB na G. Hando, ile story ya JF imesimuliwa na gwiji la Muziki Mrisho Mpoto, naona jamaa kaichukua kama ilivyo toka JF.
Inahusu yule bibi aliyechezea nyeti za mkurugenzi wa Bank moja maarufu, huku kijamaa cha nyuma yake kikimwaga machozi, yule mkurugenzi kuona vile kaanza kushangaa na kuuliza kulikoni, kale kabibi kakamueleza kwamba nishamla milioni 400 kwani alinibishia kwamba siwezi kuchezea korodani za mkurugenzi wa bank kubwa...ngoja niitafute ile link nitaiweka, au kama mwenye nayo aiweke tafadhali

Kweli JF ni noma manake watu wanapatia umaarufu kutoka humuhumu, ingawa hawasemi hizo story wamezitoa wapi.

Hii hapa....https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/197633-bibi-nomaaaa-cheka-upasuke.html

Sioni cha kushangaza hapo.
Yawezekana pia huyo aliyeileta hapa ni Mrisho Mpoto mwenyewe, kwani JF ni mjumuiko wa wanachama (binadamu). Au ulidhani membaz wa jf ni Robot au angels!?
 
hiyo story siamini kama imeibwa hapa jf..

ila nachoamini iliwekwa na mtu hapa jf n possibly jamaa aliyeiweka hapa sio single and the last source of that information regardless being a creator and a legal owner of all the rights of the story....

MAMBO YA HATI NA HAKI-MILIKI HAYOOOO.
 
SIDHANI ...WEWE FF seems "too much knw".....et list u pretend to knw everythng...mh am doubt on u!! Mbona hukuileta hapa Jamvini??

vipi tena mkuu?
Anachodai FF ni kweli tupu, stori ni ya kitambo na kila mtandao wa jokes unayo.
Kama unabisa tafuta English version yake halafu ucopy maneno machache then uya-paste mu-Google, zitakuja result kama milioni hivi.
JF sio waasisi wa hiyo joke,
siamini na sitaki kuamini.
Sawasawa?
 
Back
Top Bottom