Kuna anaeutesa moyo wangu JF! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna anaeutesa moyo wangu JF!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Egyps-women, Jan 24, 2012.

 1. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mwenzenu kila nikiona Avatar yake natabasamu
  Nikiingia kitu cha kwanza lazima nimuangalie kama yuko online..
  Nikivuta post zako kuview naridhika tu
  Hatajwi popote lakini anaonekana ni mpole sana na anachangia pale anapoona kuna umuhimu wa kufanya hivo
  Siwezi hata kumtumia PM kwani signature yangu inasema ....(......)
  Sio maarufu JF kama wengine
  Siwezi kuthubutu kumwambia kama ananivutia maana sina nafasi ya kumuweka ..
  Yupo kama hayupo JF
  20% Sifa ya moyo tamaa!
  Tuliza moyo wako ......
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Bi mdada we ni adimu kweli yaani, mpaka umefunguka hivi kweli
  mapenzi yamekufika... I wish jamaa angejua; ana deserve kwa kweli.
   
 3. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Naweza nikawa ni mimi! Ngoja tumwache aendelee kufunguka!!
   
 4. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nipo Ashadii ni vile majukumu na huyu kaka kila nikiingia JF na kumkuta basi naridhika na kusign out ,
  Tatizo hajui hili
   
 5. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Rejao sio wewe ...yeye hayuko active sana na JF mara nyingi sijui huwa anaingia usiku huyu ....
   
 6. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Dah..wenye bahati zao,Mx
   
 7. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  we acha tu mwana.
  Mi sinaga kabisa haya mazali, sio kitaa wala online.
  Aaagh!
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Rejao kakaangu mbona sasa hivi kama unahangaika kweli na wadada, hujampata wa kukonga moyo wako.... I hope Ebyps hajakuangukia wewe atavunjia tu moyo.....lol... Hata kama you are my brother...
   
 9. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  vitendo sivizimii,
  matendo hunitega mi'
  source: MwanaFA
   
 10. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  My Sisy,.....nilikuwa nategemea hata unisifie nisifie...nashangaa umenigeuka kabisa!!
  Siangaiki kabisa, kuna Smile tu na hamna mwingine, na wewe mwenyewe unalifahamu
   
 11. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  tuna damu ya Bundi kaka me mwaka wa 5,cjui mwanamke yukoje akiwa Naked,Mx
   
 12. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hata mimi kuna mtu namzimikia humu basi tu
  yaani ni adimu sana na yeye nikimuona online tu mwili wote kwishney
   
 13. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mwanaume hajatulia huyu jamani?
   
 14. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #14
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145

  Isije kuwa mimi maana sifa ulizosema ni kama zinataka kunidondokea, tehe tehe tehe tehe.
   
 15. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #15
  Jan 24, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Dah! wenye bahati zao bwana .....sijui ni mimi jamani nambie baaaaaathi jamaniee
   
 16. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #16
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahaaaa watu mwendo wa kufunguka tu siku hizi mwaka mpya na mambo mapya nawatakia kila la heri yasiishie tu humu.
   
 17. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #17
  Jan 24, 2012
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Mie nitapenda japo apite kwenye thread hii aone tu kama kuna mtu anahangaika kimawazo juu yake ...
  nahisi nikimtumia PM anaweza kukaa kimya asiijibu ...
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Nakutakia kila la kheri dear.... jitahidi basi umwambie.... I really hope lakini huyo mtu jina halijaanzia "Ka" lol
   
 19. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #19
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Na hataweza kujua bila kumwambia, hakuna gharama kumwambia funga moyo.
   
 20. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #20
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kinky. Loving and AVATAR. OOOOOHHHH!!!!!!!
   
Loading...