Ni bora mwenye mvi kuliko mwenye uwalaza (upara)

mh...huo wa ujinga ndo kwanza nausikia kwako..........halafu mvi wenyewe sumtymz ni wa matatizo!!!bora afro
 
Ni kweli si kila mwenye upara ana busara. Mwenye upara mmoja aliendesha gari kizembe akaua watu huku akiwa hana leseni na gari lake halikuwa na bima, akatozwa faini na mahakama. wapo pia wenye mvi wengi tu katika uoungozi lakini wanashindwa kutatua matatizo yetu ya kiuchumi. Hapo mkuu unasemaje? Tafakali.
 
mvi au upara unaweza kurithiwa kutoka kwa wazazi na wala c sign ya busara na hekima........tena ukiwaona wenye mvi au upara jiadhari nao kabisaaaa maana wengi ni matapeli wa mjini.
 
Back
Top Bottom