AKILI ni NYWELE

olele

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
1,303
1,559
Kuna jamaa walianzisha ZOO (bustani za kufugia wanyama wa porini) basi wakaweka wanyama wote sasa kimbembe kikawa kumpata nyani, jamaa hangaika kweli hawakumpata, wakakubaliana mmoja wao avae kinyago awe nyani, ikaonekana freshi jamaa akawa anavaa kinyago anaruka ruka kwenye banda mbwembwe kibao pesa inaingia, siku moja wakaja wazungu jamaa akaambiwa hela itaongezeka, jamaa akazidisha mautundu mara aruke tawi hili mara aruke sarakasi, ilimradi katoa burudani ya nguvu, mzungu mmoja akatoa ndizi akamrushia jamaa akataka kuwaonyesha akapiga sarakasi kama tatu hivi hewani, sasa kumbe kule juu kulikuwa hapajazibwa akapitiliza kwenye banda la pembeni yake ambako kulikwa na simba. Balaa lililotokea hapo unaweza kulihisi?

nyani ngabu.
 
Simba mwenyewe alikuwa ni mshkaji aliyevalishwa kinyago ka simba..wala nyani ngabu hakuthurika
 
Kilichio tokea:
Simba akamwambia:
Tulia dogo...tutatimuliwa kazi hapa!!!!!
 
Back
Top Bottom