masikini ni mtu wa aina gani?

masikini ni mtu wa aina gani?

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
ni mtu wa aina gani?

je ni yule asiye na mali?

je ni asiye na marafiki?

Au ni yule anayetia huruma

unakuta mtu ameona mwenzake kakoswa na gar barabarani anapayuka masikini yule kijana!
 
Nadhani hili neno lina maana nyingi. Masikini ni mtu asiye na mali/fedha au ni mtu mwenye mali/fedha kidogo ukilinganisha na watu wanaomzunguka. Mtu anakuwa masikini kutegemea na mazingira na watu wanaomzunguka.
 
Back
Top Bottom