Wachungaji na biashara....hii imetokea!!

Wachungaji na biashara....hii imetokea!!

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
5,342
Reaction score
2,528
Jamaa mmoja alienda kwa mchungaji kumuomba amfanyie misa ya maziko ya mbwa wake.

Mchungaji: Pepo toka na ushindwe kwa jina la Bwana,hapana hizi misa hatuzitaki tena ondoka hapa!

Jamaa: Basi naomba unielekeze mahali wanapofanya maana nina sadaka kamili ya sh milioni 3 hapa.

Mchungaji: Oooh hizo huwaga tunafanya sasa mbona hukuniambia kama mbwa wako alikuwa mlokole!
 
Hahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.......
Atakuwa mzee wa kupaka huyo au Muingiraji!!!!!!
Hii kali!!!
 
Hahahaha mbwa mlokole jamani pesa hizi kweli sabuni ya roho
 
Pesa ndio kila kitu(hasa kwa kuovuka).
 
mchungaji kachanganyikiwa na pesa.......loooo, eti "huyo mbwa alikua mlokole" mh!!!
 
MONEY------>POWER----->RESPECT
Hili ni song la mtu mzima EXIZIBIT napenda kulisikiliza ile mbaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom