Wazinifu waliokoka washindana kwa waliyoyatenda

Midavudavu

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
287
59
wapo wazinifu 5 ambao waliamua kumrudia muumba wao na kuyaacha ya kale. siku moja walipokutana kila mmoja wao alimtambia mwenzie " yaani nyie acheni tu mimi nilikuwa muovu katika uzinzi kuliko wote hapa". Mmoja akatoa wazo kila mmoja wao aeleze jinsi gani uzinzi wake ulivyokuwa zaidi kuliko wenzie. Wakaanza kueleza;

1. Wakwaza: "Mimi nikiwapanga foleni niliofanya nao uzinzi wakishikana mikono wanaanzia ubungo hadi posta"
2. Wapili: "Wewe cha mtoto kumbe, mimi wakiwapanga bila ya kushikana mikono wabanane wanaanzia kibaha hadi posta"
3. Watatu: "Nyie wote cha mtoto mimi nimewahau wengine niliowapitia, lakini kama nanihii yangu ingekuwa pencill ingekuwa imechongwa na kufikia mwisho"
4. Wanne: "Nyie wote cha mtoto mimi nanihii yangu ingekuwa ni kifutio kingekuwa kimekwisha zamani"
5. Watano: "Mimi nanihii zangu nilizotoa ingekuwa zinawekwa katika pipa labda ningekuwa nimejaza mbili"
Wote kasoro wa Tano: " Ebwana wewe umezidi kweli , umetushinda kwa uovu"
 
Eh!hadith yako inatufundisha tusiwe wakorofi...hongera!pwa pwa...imara!pwa pwa...waaa!
 
Back
Top Bottom