Midavudavu
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 287
- 59
wazazi fulani walikuwa na chumba kimoja na walikuwa wanalala na mtoto wao wa makamo hivi. Basi siku moja usiku akamsikia mama yake analia, akamuuliza mama! mbona unalia? akamjibu aa, naota tu mwanangu. Siku nyingine tena mtoto akamsikia baba yake naye analia usiku, akamuuliza baba! mbona unalia? akamjibu aa, naota tu mwanangu. Siku nyingine akawasikia wote wawili wanalia kwa zamu akawauliza Baba na Mama mbona mnalia?. Wakamjibu wote kwa pamoja tunaoooota mwanetu. Je, mnaota pamoja nifundisheni na mimi niwe naota pamoja na mimi. Mtoto akawauliza. Ushauri kama chumba kimoja na mnalala chumba kimoja na mtoto mechi fanyeni mchana akiwa hayupo.