Tujiangalie maumbo yetu na magari tunayoendesha!!!

Muuza Sura

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,985
1,345
ni kweli magari yanaturahisishia shughuli zetu ila na maumbo yetu tuyatatendee haki!nimepishana na raia mmoja mwenye umbo mithili ya kapteni john komba ndani ya duet!!!dah......huu ni ubakaji wa magari!
 
Hapo red nimecheka sana
Ndah, sa mie na umbo langu la tembo nina baskeli

ni kweli magari yanaturahisishia shughuli zetu ila na maumbo yetu tuyatatendee haki!nimepishana na raia mmoja mwenye umbo mithili ya kapteni john komba ndani ya duet!!!dah......huu ni ubakaji wa magari![/QUOTE]
 
Toyota_DUET_Used_Passenger_Car.jpg
 
Naona tupeane mwongozo hapa.
Uzito wa kg 30-40 duet
Kg 40-50 starlet
Kg 50-52 vitz
Mwisho wa baby walkers.

Magari:
Kg 52-55 Baloons and the like (nadhani na gx 200+ ziwe humu)

Endeleeni, ila sasa sie wenye kilo za nyati ina maana benz hazituhusu?! Ama tushauri benz watengeneze pickup?
 
Back
Top Bottom