Wanawake mnaongoza kwahili!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Kwanini wanawake mnaongoza kwakuvaa viatu bila soksi??au hamruhusiwi?mbona wazungu wanavaa nyinyi kwa nini msivae soksi??au tuseme nyie ni washamba?jibu mnalo!!
 
ngoja waje dada zako wa huko kibosho na uru,
watakuhakikisha jinsi ilivyo muhimu kwa wanawake kuvaa viatu na soksi,
sijui wa huku mjini wanavaa vaaje.
 
Sio kila aina ya kiatu inavaliwa na soksi kwahiyo we unaetaka kila mtu avae ndio mshamba.
 
Wanawake wengi hatuvai viatu vya kutumbukiza, afu tuvae soksi na joto lote hili kwa nini? Kwa arusha ikifika msimu wa baridi wengi wanavaa manake uvaaji nguo nao hubadilika kwa wakati huo.
 
Hata mimi nina swali mojo, kwanini wanawake wa kule Moshi huwa wanapenda kuvaa sketi Mayenu?
 
Kama hujui sketi mayenu ni fasheni. . . hata mimi navaa.

Tu kwasababu unavaa wewe basi nifasheni?......mimi nafikiri hiyo ni style tu....kama mimi ninavyo vaa mayenu na viatu mchongo.
 
Tu kwasababu unavaa wewe basi nifasheni?......mimi nafikiri hiyo ni style tu....kama mimi ninavyo vaa mayenu na viatu mchongo.

Ningesema mimi navaa kwahiyo ni fasheni ningeelewa swali lako, ila kwasababu sikusema hivyo sina cha kujibu.
 
Sijaona swali la msingi hapo...Kwa nini wanaume wanavaa mkanda siwashone suruali zinazowatosha kiunoni? hayo ndio maswali unayoleta humu...

Kweli Jf ni zaidi ya social netiweki....
 
Sijaona swali la msingi hapo...Kwa nini wanaume wanavaa mkanda siwashone suruali zinazowatosha kiunoni? hayo ndio maswali unayoleta humu...

Kweli Jf ni zaidi ya social netiweki....
 
Back
Top Bottom