JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
jamani kwa watumiaji wa barabara ya tegeta kuna matrafiki wametanda barabarani wanakula vichwa kama hawana akili nzuri kama una gari, hakikisha umejipanga.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamani hapana hili wazo la kufungwa kwa mtandao wetu, unaotusaidia kifikra ,kimawazo. Sikubaliani nalo na hoja iliyotolea jana bungeni, kuwa mtandao wetu wa kijamii, unapotosha jamii kwa kutoa...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
usmwage povu, ww jibu umepima? Na ulisubiri majib yako? Ndio nataka kujua kama umepima uzito wako karibun. mm nimepima nina kilo 47. GM
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Leo nilipita sokoni Majengo hapa Dodoma katika kujipatia bidhaa, wakati nazunguka sokoni nikaona sehemu mama mmoja anauza Ubuyu (wenye rangi mbalimbali pamoja na unga wake). Nilivutiwa kwenda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii ni style mpya nawapa ya matangazo ya kifo incase ukiondokewa na ndugu yako kama ameishia la saba unaandika burian mr/mrs /miss sososos(certificate prmary school,mbagala)) KUNA MTU AMETANGAZA...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
thuuGikamak (61)RAP (53)uhuru1 (48)FVALyugi (43)Upande27 (40)Muhamed (40)janja pwani (38)wangokhoshauriyakobruetooth (35)ThatoonyombikiddokokushekyawadondoKateDaring52 (31)junejmarcial...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Swali la mama Lwakatare kwamba JF anatoa maneno ya uongo na uchochezi................... Source; TBC1 Bunge live
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Jamani nimependana sana na mke wa mtu na tayari tumepeana promice na huyu mama kwakweli ananipenda sana the same to me, wanajf vipi hivi kweli nitembee naye au nimwache na kasema anatamani sn...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Nimeikuta hii kitu leo inawezekana wengine tayari walishaona. Ni kifaa kizuri cha kutumia mjini halafu bei yake sio ya kutisha sana. Bongo zimeshaingia kweli? Maelezo yake yako hivi: Toyota FJ...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamaa mmoja alikuwa na marafiki wa3, na kati yao mmoja alikuwa anatembea na mke wake. Siku moja akawakaribisha wote wa3 kwa chakula na vinywaji. Wakati wanaendelea kunywa, jamaa akaingia ndani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau nawakariibisha sana wakati huu tujumuike pamoja katika kuchafua jina lakini in the other hand unajenga afya. Mimi hapa nachafua jina kwa ugali na mlenda plus mtindi. Karibuni sana, sharti...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Its time to sit down relax and learn Chinese in as little as 5min Open the attachement below
0 Reactions
1 Replies
2K Views
baba kajibanza anashudia mwanae akiombwa game na jamaa: Jamaa: Nikubalie tuu kasuku sitaiingiza yote! Baba kakurupuka:Usikubali mwanangu hiyo haina mabega!!!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sala Kuu: MOSHI: Mungu Onesha Sehemu Hela Iko? Viitikio: 1.Hata Ikipungua Mungu Ongeza! (HIMO) 2.Mungu Angalia RAia NGawira Utuhakikishie! (MARANGU) 3.Mungu Ahidi Mapesa Bila Ajira! (MAMBA)...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mtu akienda haja ndogo eti wanasema kaenda'short call',akienda haja kubwa wanasema 'long call' kwa hiyo kujamba tuseme ni MISSED CALL?!
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Isiwe ndogo saaana, 2. Iwe nzuri na yenye mvuto, 3. Isiwe imetumika mno, 4. Isiwe na umeme, 5. Iwe maeneo ya uswazi (cheap), 6. Iwe nyeupe na ndefu, 7. Mpangaji niwe peke yangu, 8. Isiwe na...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
mheshimiwa atulali usiku vema .mwaka wa saba sasa .tumelalamika mpaka tumechoka .kwa katibu kata .diwani ccm sombetini .mkurugenzi jiji .magazetini .kamanda wa polisi arusha .kituo cha sheria na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimeapa kwa mwendo huu lazima nami nitungue kausafiri kangu soon, by any means necessary. Nimefika Posta saa 12 jioni kufuatilia dili zangu. Nimemaliza narudi kituoni nasubiri gari ya 'kwetu' wala...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wanajamii?,sio siri huyu dada/mama Faizafoxy maarufu kama FF namkubali sana kwenye post na uachangiaji wake. Yaani kama nisipopata kitu basi ntacheka sana the way ana-comment,.hongera...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Wala usishangae. Mimi nimekutana nae mwaka huu. Amenidanganyadanganya nikaanza kumshtukia kwa kua amesahau chanzo cha sisi kukutana ni hapa hapa jf na bado ananiambia anaishi ivory coast...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom