Mpanda baiskeli usiku bila ya taa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpanda baiskeli usiku bila ya taa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by sultanwjps, Jul 1, 2010.

 1. s

  sultanwjps Member

  #1
  Jul 1, 2010
  Joined: Jun 27, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku moja mtu mmoja jijini Dar aliendesha baiskeli usiku bila ya kua na taa, kwa bahati alikutana na askari mgambo na akamsimamisha kwakua hakua na taa. sasa maongezi yao yalikua kama ifuatavyo :

  Mgambo : Jee mzee wapi Taa.

  kijana aliepanda baiskeli nae akajibu : Ndio napitaa. na akaendelea na safari.

  Mgambo : Simama

  Kijana akajibu : Ndio ni baba tena anaendelea na safari

  mgambo : Shuka chini.

  Kijana akajibu : Blangeti juu na huyoo anayoyoma
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,275
  Likes Received: 22,030
  Trophy Points: 280
  Darasa la pili oyeee
   
 3. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180

  Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! weraaa weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  :closed_2:
   
 4. chloe.obrain

  chloe.obrain JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hatoi bira heraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...........................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:humble:
   
 5. b

  blackpepper JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 382
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Hatoi bila error
   
 6. S

  Sugar-a Senior Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Uongo ni dhambi.
   
Loading...