webb uwanjani

pera

Senior Member
Jul 19, 2011
148
16
man of the match wa jana kati ya chelsea na man u alikua webb. Anaekataa hajaangalia mpira vizuri!
 
sina interest na mpira wa england kwa sababu barca damu, lakini nilichokuwa nakiona jana webb is more than a man of match
 
tafuta sababu nyingine ya kufungwa kwa chelsea na sio kumsingizia mwamuzi kwani kwanini waliwaruhusu man u wakaingia mpaka kwenye kumi na nane yao...ukibebwa jishikie..know how to defend your win ,from 3-0 to 3-3 well done man u...
 
Alikuwa Son of the Bitch, to be honest kumwita man of the match ni kumpa popularity.
 
HAmkosi Visingizio na hiyo nafasi alioko Chelsea ni sababu ya marefa? au Uzembe wao?
 
Nauliza hivi chelsea wapo nafasi ya ngapi kwenye ligi kuu? Hivi mechi zote za chelsea kachezesha Webb? TAFAKARI.....CHUKUA HATUA.
 
C.......mkifungwa na Man U mnasingizia refaa, mbona mkifungwa na timu nyingine hamsemi, huo ni ujinga: tena mshukuru Mungu muda uliisha vinginevyo msingeambulia hata hiyo pointi 1
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom