Jamaa alikuwa amechelewa kazini,kwa kuwa foleni ilikuwa ndefu.
Akawa anamtumia boss wake ujuembe kama atachelewa,
baada ya kumaliza message akawa anataka kubonyeza 'send'
simu ikaporwa.Mwenye simu aka anza kumpigia mwizi kelele,
Tafadhali bonyeza send.