Duuu!!!wakwe wa kichanga!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duuu!!!wakwe wa kichanga!!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Vitendo, Feb 7, 2012.

 1. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jamaa 1 Alimpa mimba binti wa kichaga,Baba m2 alikasirika na Akapanga kumuua jamaa,Jamaa Akam2mia salaam mzee kwa kumwambia,Mzee kweli mie ndie niliempamimba binti yk,na kusema ukweli cna mpango wa kumuoa,lkn natoa Ahadi Akizaa mvulana nitakupa bilioni1 na mtoto nitamchukua,Na Akizaa msichana nitakupa milioni60na duka kariakoo,lkn mzee ikitokea bahati mbaya mtoto akafa itakuaje?MZEE Akajibu:- Aisee babaangu itabidi umpe mimba nyengine hakuna jinsi. Hahaha.
   
 2. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Some are wise, and some are otherwise!!!!
   
 3. M

  McJO-CHINAKA Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Teh teh teh teh ebana nimeipenda hyo bwana Vitendo.
   
 4. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi hili la wazee wa kichaga kubanjua wake za watoto wao ni mila ya kweli?
   
 5. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Hakuna MILA kama hiyo uchagani. NI ubaradhuli wa mtu mmojammoja tu.
   
 6. DavidHard

  DavidHard JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  da! Inapendeza kinomaa.i like it
   
 7. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Tena babangu ukipata mtoto wa kike usikate tamaa mpaka upate wa kiume sawa babangu aikambe
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hahahaaa kweli mchaga nouma
   
 9. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Na mimi nilisikia tetesi kuwa eti kijana wa kiume wa kichaga akija mjini kutafuta maisha na kumuacha mke wake kwao.Baba mkwe anakaimu nafasi.Je hii nayo ni kweli?
   
Loading...