Should I be concerned??

Should I be concerned??

Nemo

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2011
Posts
751
Reaction score
1,332
Habari zenu, wakuu. Jana I googled myself nikakuta jina langu kwenye list ya board ya higher learning ya watu wadaiwa ambao hawajalipa au kuanza kulipa mikopo yao ya chuo. The odd thing is mimi sikusoma UD na wala sikuwahi kuchukua mkopo. Ningependa kujua kama kuna mtu imesha mtokea na pia if it's something I should be concerned about or not.

Natanguliza shukrani.
 
Nenda bodi wakuangalie km kuna mtu aliumia jina lako kusoma au labda majina yanafanana
 
Wengi wameapply na kutoka majina kuwa wamepata lakini wanapo enda kuchukuwa hizo pesa huwa wanakataliwa. Hawa HESLB wana mchezo mchafu. Bora ukawaone ujihami mapema. Chukuwa na ushahidi toka kwa Dean wako wa chuo ulicho soma.
 
heee, uki-google jina tu kama ni mdaiwa unaonekana?
 
Wengi wameapply na kutoka majina kuwa wamepata lakini wanapo enda kuchukuwa hizo pesa huwa wanakataliwa. Hawa HESLB wana mchezo mchafu. Bora ukawaone ujihami mapema. Chukuwa na ushahidi toka kwa Dean wako wa chuo ulicho soma.

Muchly appreciated,nitaufanyia kazi ushauri wako
 
It could just be a name coincidence. But nevertheless,if I were you I'd be concerned about it and would want to know a bit more about that person.

Check to see if you share the same birthday, birthplace, and etc.
 
Nenda bodi wakuangalie km kuna mtu aliumia jina lako kusoma au labda majina yanafanana

Erickb52
Hopefully not, maana that will mean kuwa basi dingi kafanya ushenzi :tongue:, otherwise how can both first, middle and last name match??
 
It could just be a name coincidence. But nevertheless,if I were you I'd be concerned about it and would want to know a bit more about that person.

Check to see if you share the same birthday, birthplace, and etc.

FLY
Unfortunately the only info avaialble on the said list is the person's first, middle and lastname. I guess I'll have to follow up with them, maana kama hamna watu iliyowatokea maybe in deed there is someone out there sharing the same three names as I!!!
 
sio ajabu
wanauza majina ya watu na kuyasomea
kuna mwaka aliwagonganisha wawili
The real person na fake
na yule fake alikuwa ahead of the game kwa kila kitu
kuanzia kuchukua boom, kuchukua chumba na registration zote
miaka hiyo boom la kupanga foleni

baada ya wiki moja tule binti halisi ndo aliweza mshika mwizi wa jina lake
hadi vyeti vya O level na A level vilikuwa vile vile

tena huyo dada alisoma korogwe girls
akapelekwa pale auxillary police
simpo test, taja walimu watatu kila mmoja
walimuweka pale kwa muda sasa sijui iliishia vipi
Erickb52
Hopefully not, maana that will mean kuwa basi dingi kafanya ushenzi :tongue:, otherwise how can both first, middle and last name match??
 
ishantokea hiyo,nilifuatilia but it was just a coincidence.usipuuze inaweza kuwa issue.
 
Erickb52
Hopefully not, maana that will mean kuwa basi dingi kafanya ushenzi :tongue:, otherwise how can both first, middle and last name match??

Ohh inawezekana sana. Ila fuatilia ili upate uhakika sio wewe usije ukawa "black listed"kama wanavyojifanya watafanya kwa wale ambao hawatolipa.
 
ishantokea hiyo,nilifuatilia but it was just a coincidence.usipuuze inaweza kuwa issue.

Daughter
Ahsante , this is somewhat comforting.................with me being far its going to be a bit challenging kuwakaba
 
Ohh inawezekana sana. Ila fuatilia ili upate uhakika sio wewe usije ukawa "black listed"kama wanavyojifanya watafanya kwa wale ambao hawatolipa.

Lizzy
Duh black listed tena..........mbona unaniogopesha. Kwa kweli nitafuatilia
 
Lizzy
Duh black listed tena..........mbona unaniogopesha. Kwa kweli nitafuatilia

Yeahh. . Though I don't buy it.

Soma hapa chini. .

The said Loan defaulters are further notified that after expiry of this notice the following consequences shall fall upon those who will have not communicated or submitted their information to the Board or to the Debt Collectors:-

i.Shall be liable to legal action as per Sect. 19 (a) (1) of the HESLB Act.
ii.Shall be subjected to additional monthly Penalty of 5% p.a. on the outstanding loans, over and above the 5% that was levied earlier.
iii.Shall have his/her outstanding loan loaded with the cost of tracing that will be charged after being traced by the Debt Collection Agent of the Board.
iv.Shall be blacklisted and his/her information shall be submitted to the Credit Reference Bureaux, following which they shall be barred from access to credit facilities from all Financial Institutions.
v.Shall be barred from securing Government scholarships or admission for Postgraduate studies in any Higher Learning Institution within and outside the country.
vi.Their details shall be submitted to the Ministry of Home Affairs, Department of Immigration and all Embassies where they will be denied approval for travelling abroad.
 
Duh... Sheria na adhabu zake ni kali sana... Thanx @Lizzy
 
Erickb52
Hopefully not, maana that will mean kuwa basi dingi kafanya ushenzi :tongue:, otherwise how can both first, middle and last name match??
Pole sana!
Kwani uliwahi kuomba kusoma UDSM? Kama uliwahi inawezekana walikuweka kwenye list ya watakaopata nikopo halafu hawaku UPDATE document zao kuwa hukusoma,jamaa wanakoseaga.....Usipanic.
Hivi hayo majina naweza yapata wapi?
 
Back
Top Bottom