Hapa nilipo Minimum price ya beer ni 1,800/=.
I gues mwezi wa Saba baada ya Budget bei hii lazima ifike 2,000/= and above.
This will really make us think twice on Beer budget.
tema mate chini ndugu yangu.
Bia ndo inaendesha uchumi wa nchi...
kwani savana nazo zimepanda bei?
nafikiri hizo bado,...ila tutapambana mpaka kieleweke_kama vip nahamia kwenye viroba.
Kona bar kwani Biashara yao kubwa pale ni nini?
Mphamvu, Nakubaliana na wewe 100% as the statistics says.
Do you mean tukipunguza unywaji uchumi utadorora?
kwani nini bana....tena tutapunguza na vitambi....
Viroba navyo zimepanda bei pia....
Viroba navyo zimepanda bei pia....
Kona bar kwani Biashara yao kubwa pale ni nini?
ndio.
Kile cha jero sasa hivi Sh. 700, kile cha buku kinauzwa buku sh. mbili,
konyagi ndogo 3500, mzinga 7000, phantom 12000..
Hiyo ndio bei yetu huku kajambanani, sijui huko duniani bei zikoje?
Inaonekana wewe mdau haswa, utaathrika sana mwaka huu...hakyanani.