Sijui kwa makampuni mengine ila nimehakikisha Vodacom ni wezi.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijui kwa makampuni mengine ila nimehakikisha Vodacom ni wezi..

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mtoboasiri, Feb 17, 2012.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  ...naomba ijulikane wazi kuwa sifanyi kazi, sina hisa wala sina cha kunufaika kwenye kampuni yeyote ya simu ila nina uchungu na nchi yangu. Ninalazimika kuwapigia simu watu kadhaa sehemu tofauti nchini na nje ya nchi si mara moja wala mbili nafanya hivyo na ieleweke sifanyi hivyo kwa kutaka kile kinachoitwa "promotion" ila ni kwa kulazimika. Iweje nikipiga simu (vodacom kwa vodacom) kuanzia saa nne usiku simu iite mara moja tu halafu ikatike (na sina uhakika kama inapokelewa maana mara zote huwa simsikii ninaempigia) na salio linapungua??? Kumbuka muda huo ndio vodacom wanatuambia tunaweza kupiga kwa robo shilling huku wanakata zaidi ya kiwango hicho huku simu hazipokelewi?

  Kuanzia leo naanza kuweka call log yangu ili nitakapokwenda TCRA. (sikumbuki kama ndio kifupi cha jina la mamlaka husika) niwe na ushahidi kamili!
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Karibu tigo
   
 3. L

  LIFE OWNER Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh!! unamkaribisha tigo siyo?!! .....
   
 4. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Acha uchokozi!
   
 5. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Airtel ndio mpango mzima,wengine wezi tu!
   
 6. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Bila shaka mleta mada umelala baa, umeamkia kitimoto hlf unatuletea ****** wako hapa. Wewe si uhame tu umatafuta nini huko? Au ndo unawapigia voda promo kwamba kuanzia saa 4ucku ni robo sh. Nahic wewe ndo walewale wanaopeleka mashitaka kwa paroko eti mke hakuunga chumvi kwenye mboga.
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ebu nikumbushe kisanga cha airtel na ttcl,nani aliomuibia mwenzake vile?
   
 8. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  A silent fool is taken to be wise! Usingeandika ulichoandika hapa upumbavu wako usingejulikana. Ni wapi nilipowa-promote vodacom? Umesoma nilichoandika au umekurupuka tu kujibu?

  Take care next time if you have any sense at all. Well, on a second thought you are incapable of having any sense based on your post. And you are probably semi illiterate.
   
 9. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hahahahaha!inasemekana celtel wa walibia ttcl,but hapa ni wizi kati ya mtoa huduma na mteja,airtel hata km wanatuibia haimu sn kwan mtandao uko stable co km hawa wengine!
   
 10. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hujui usemalo wewe,hakuna kampuni ya cm yoyote hapa tz ambayo siyo wezi,usikurupuke kusifia kampuni fulani bila kuichunguza kwanza,jaribu zoezi dogo sana.kila upigapo cm angalia kiasi ulichotumia muda uliotumia halafu fananisha na jinsi (offer wanayotoa) wanavyo jitangaza utashangaa.
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Bora mimi nimeachana na mambo ya simu, ni mwendo wa barua tu. Ikinilazimu sana kupiga simu ni ttcl.
   
 12. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hao TCRA ndiö wazembe kweli,nilishawahi kuwatumia email lakini hakuna responce kazi kula kodi zetu kis.!-?enge
   
 13. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Soma posti yangu uelewe ndio ulaumu,

  Nimesema hata km airtel inatuibia lkn mtandao uko stable na huduma zinapatikana sio km hao wengine hata km upo hewan utaambiwa hupatikana nahela wanakata!!!

  Najua hata wao wantuibia ila wanaiba kwa akili sio km hao vilaza wengine wanaiba na huduma mbovu!!!!
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mwizi mwizi tu,mjasiri ahachi asili na akiacha asili si mjasiri atiiii!!
   
 15. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ccm ndio wezi wewe!
   
 16. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #16
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Erick Leo umekuaje ? Tafuta jina jingine la kumkaribisha bwn ! Hilo la Tigo hata Bakita wanafikiria kulipasisha kwa maana ileee! Iliyozidi ktk nguvu ya soko kimatumizi.
   
 17. L

  LIFE OWNER Member

  #17
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siyo uchokozi mkuu! we umekaribishwa tigo unalaza damu shauri yako!! kama ni mimi nimekaribishwa nisingelaza damu tena nilivyokua nahamu nayo weee!!
   
 18. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #18
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Katavi acha fix zako. Yaani "Mamsap" akichelewa kurudi home unamtafuta MANUALLY?
   
 19. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #19
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Mh! Hata kama ni kweli mie yamenishinda mkuu!
   
 20. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #20
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Hamia Airtel
   
Loading...