chidy bwoy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chidy bwoy

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Ginner, Feb 20, 2012.

 1. G

  Ginner JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Kijana Rock Francis baada ya kuhitmu masomo pale
  SAUT ajira kama unavyojua tena katika nchi yetu,,,
  hakufanikiwa kupata kazi.......
  Kutokana na majukum kuongezeka akiwa na MKEWE
  Farry Aziza baaaadae akaamua kupanga gheto na
  kufungua "hair cutting saloon "
  Kama kawaida vichwa kibaoooo, baasi siku MOJA
  JAMAA MMOJA (Chidy Boy Mbinga) akaenda na
  KUMUULIZA ____
  Chidy@:Utamaliza kunyoa saa ngapi??
  Rocky baada ya kuangalia folen akamjibu "nafkr baada
  ya masaa mawili na nusu
  Chidy akamjibu Ok, nakuondoka zake
  SIKU YA PILI TENA
  Chidy @:kakuta foleni tena akaulza vp Rocky Leo
  Utamaliza saa ngapiiiiii?
  Rocky@:foleni leo kubwa sana, hapa nafkr baada ya
  masaa manne.
  Chidy akachapa mwendo kama kawa
  SIKU YA TATU
  Chidy @:vp na Leo?
  Rocky @:DAAAAH Leo sikukuu hapa folen MPAKA Nyt
  mzazi.
  Chidy kama kawaa hakuagaa,,,,, mwendooooooooo
  _________________________________________-Rock
  akashangaa sana kwann Huyu JAMAA akija
  ananihuliza tu hanyoi wala nn?????????? Ikabd amtume
  mchizi wake (Baisar Abdallah ) amfatilie Chidy huwa
  anaenda wapiii kunako mfanya ashindwe kusubiri.
  Baisar Abdallah akarudi anacheka sanaaaaaaa
  Rocky @:kwa shauku, vp Kaka?
  Baisar Abdallah @:hahaahhaha JAMAA huwa anaenda
  kwa mkeo ..
  Hahahahhhhaa hii kesi..... Rocky kaileta kwa mimi
  balozi wake wa nyumba kumi naisolve vp jamani??????
   
 2. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mla huliwa..........JK
   
 3. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ndio maana yake si hataki kutoa day waka!
   
 4. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dah huyo ndo chidy bwana
   
 5. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Very clever
   
Loading...