Am back from ban! nipokeeni wangwana.

Am back from ban! nipokeeni wangwana.

ENZO

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,248
Reaction score
1,745
Asalam aleykum wanajamvi,naombeni mnipokee mwanajamvi mwenzenu baada ya kutoka kwenye kifungo cha wiki moja Kilichotokana na kumpa mtu za uso!!
Pia naomba mdada mmoja hapa jamvini ajitokeze ile niwe nae usiku wa leo anisaidie kuondoa stress za ban!! hata akijitokeza yule wa _000 mi poa tu.
 
karibu mkuu, nafurahi tena kukuona humu jamvini.
Kuhusu msichana wa kutoka nae kuna FF, siku hizi anajiita JF BAN-1, wasiliana na Maxence Melo akuwasilianishe nae, atakufaa huyu.
Please, accept my choice.
 
Karibu sana na pole kwa kifungo cha one week! Usirudie tena kuvunja sheria, sawa mtoto mzuri eeh?
 
mkuu pole sana karibu kwenye harusi yetu mimi na Sweetylady mambo bye
 
maprosoo kata hako kajikia
ndo kanaleta nuksi.
 
Asalam aleykum wanajamvi,naombeni mnipokee mwanajamvi mwenzenu baada ya kutoka kwenye kifungo cha wiki moja Kilichotokana na kumpa mtu za uso!!
Pia naomba mdada mmoja hapa jamvini ajitokeze ile niwe nae usiku wa leo anisaidie kuondoa stress za ban!! hata akijitokeza yule wa _000 mi poa tu.
Mzee wangu upo wapi pole
 
popobawa mambo vipi? mtaenda lini temeke na yule mwenzio kuchukua mademu?
 
huu umeme wa tanesco nux kweli!! by the way Asanteni kwa kunikaribisha tena.
 
Pole ila huyu uliyemeandika hapo ni Mwanaume tena lina mandevu balaaaaaaaaa ingawa anajirahisisha km mdada

Babaa ! Ndevu is not big issue ! Tembelea Zanzibar ukute mijisimba has'ssa ile ya Selou inanyweshwa urojo kwa kijiko ! Imefungwa na apron isimwagikiwe urojo ! Alaaa !
 
Welikam beki Mr. Batwing .
Msuli chukuchuku without kabati nao utakuongeza Ban ! Care take .
 
Pole swahiba,karibu tena,huko jela pakoje?i wish unihadithie!
 
Back
Top Bottom