Ajinyonga kwa kukataliwa na mke wa mtu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajinyonga kwa kukataliwa na mke wa mtu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kilimasera, Feb 20, 2012.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,072
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  [TABLE="width: 491"]
  [TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD]HAMISI TUMBUKA [25] Mkazi wa Kibamba, amekutwa amejinyonga kutokana na sababu za kimapenzi baada ya kukataliwa na mke wa mtu ambaye alikuwa akimpenda kupita kiasi[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Marehehemu huyo alikutwa amekufa akining’inia juu ya mti na kuacha ujumbe mzito ambapo alibainisha sababu cha kifo chake na kumtaja mwanamke ambaye alikuwa akimsumbua akili na kumuandika jina lake lililofahamika kama Ashura

  Mbali na kuacha ujumbe pia alitoa maagizo kwenye ujumbe huo kuwa azikwe kiiislamu na aliomba msichana huyo aliyemtaja kwa jina la Ashura ashuhudie mazishi yake kwa kuwa alisababisha kifo hicho

  Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Charles Kenyela alisema kuwa, tukio hilo lilitokea juzi , majira ya saa 2 asubuhi, huko Kibamba ambapo polisi walikuta mwili wake ukining’inia kwenye mti.

  Kamanda Kenyela amesema kuwa marehemu huyo alitumia kamba ya katani kujinyonge na kukutwa na ujumbe uliosema

  “Naomba Waislamu wanizike hapa hapa na Ashura ashuhudie ninavyozikwa..., Ashura nakupenda uishi salama na mumeo.” Ulimaliza ujumbe huo

  Polisi mkoani Kinondoni wameuhifadhi mwili huo katika Hospitali ya Tumbi Kibaha kwa uchunguzi zaidi.
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cha ajabu kipi?
   
 3. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ngoja niende zangu kibaruani! Daaah...!!?
   
 4. Mponella

  Mponella Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alale pema peponi. Amen
   
 5. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,816
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Dah I wish kungekuwa na ku forfeit life ya mtu mie nigeidaka ya huyu bwana!
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,019
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Uzinzi+kutamani+suicide=motoni
   
 7. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,165
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Sir god anamsubili "****** huyo"kwa ma2,
  1-kamtamani mkee wa mtu
  2-kaua nafsi yake,
  ****** huyo.
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,987
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Sasa police watafanya uchunguzi gani?
  Ama wanataka kumjua huyo Ashura aliyesababisha kifo!
   
 9. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,165
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Mkuu LIVERPOOL FC nadhani umesahau utaratibu wao,
  Huwa wanasema hv(uchunguzi bado haujakamilika)na kawaida huwa unakamilika after a lot of years
   
 10. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari kama inatolewa na jamaa hawa bado si ya kuaminika. ona bosi wao alivyotoa habari ya ajabu kuhusu Mwakyembe kulishwa sumu au la.
   
 11. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Mahahara wa dhambi ni mauti bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu. (Warumi 6:23)
   
 12. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,165
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Umesomeka
   
 13. e

  egbert44 JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 346
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huyo jamaa kaamua tu kumsingizia ashura lazima alikuwa na yake mambo akaamua kupakaza ili tu amharibie ashura! watu wengine virus kichizi
   
 14. R

  RECYCLER Senior Member

  #14
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asa alivyojinyonga ndo kampata au kamuachia mwenzie afaidi
  kwa nafasi.
  Mwanaume jitume, tumia ulichonacho kupata unachokitaka.
   
 15. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #15
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,081
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  pengine ashura *alipima na kujikuta na ukimwi na ikawa *sabb ya kumkatalia
  :lol:
   
 16. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #16
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,181
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  plus jahannamu ya milele 100%!
   
Loading...