Napita tu jamani!

Napita tu jamani!

Jonogomero

Member
Joined
Feb 8, 2012
Posts
99
Reaction score
27
Nilikuwa napita tu hapa jamani, ila wanawake wa kenya ni noma jamani, mpaka vidume vimegoma kula makwao, swali je watakula kwa mama ntilie au kwa baba ntilie????
 
Kawaulize wao!hapa tz hatuna vitu kama hivyo thus hautapata majibu sahihi
 
Sasa wewe umesema kuwa "Unapita Tu Jamani" inakuwaje kuuliza swali na ikiwa wapita njia.

Hilo jibu tumpe nani sasa twashindwa kuelewa.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Hata lucy si unaona alivyo makali kwa babu!!
 
Back
Top Bottom