Wako wapi wanaJF Hawa? Nimewamiss ile mbaya

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
Kuna wanaJF nilishawazoea na kuwapenda kwa michango na hamasa zao hapa JF lakini muda mrefu sijawaona. Ni hawa wafuatao: Execellent, FaizaFoxy,Sikapal na NyaniNgabu.Wako wapi?

Au wamekula ban? Mungu apishe mbali!
 
Excellent yupo chuoni, huwa hapendi kuchanganya jf na masomo ndio mana kapozi kwanza!


FF kala ban!

NN ngoja nambipu akuje sasahivi!
 
Excellent yupo chuoni, huwa hapendi kuchanganya jf na masomo ndio mana kapozi kwanza!


FF kala ban!

NN ngoja nambipu akuje sasahivi!
Yaani FF kateremshiwa ban! Thread ipi ilimponza? Asante kwa taarifa Sweetlady
 
huyo nyani gendaeka anadeal na topic za kimahaba na wakina dada na anazipatia swaga hizo..
 
Ni mkulima, kama ni mtumiaji naomba nisiulizwe...
Mkuu nasikia eti na wewe umeacha hii kitu, ni kweli?



.

kaka huoni kuwa unaharibu cv za wabunge watarajiwa aisee..hi kitu sitamiagi waache kina YOYO waendelee nayo .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom