Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,975
Imenikera sana tena sana, juzi nimetoka na jamaa yangu tumezoea kupanda tax eti kanitembeza kwa mguu, hlf tulipofika akaagiza soda kumuuliza baby vp leo kaanza ooh! Unajua ATM yangu ina matatizo mara imefungiwa mara imekuwa ghafra jana sikwenda benki mi nikatulia.
Sasa leo namtumia plz recharge me ananipigia simu ooh! Baby si unajua niko site? Yaani huku ni porini na vocha hakuna. Sasa unamdanganya nani?
Siku hizi kuna SIMBANKING, kuna MPESA, TIGOPESA NA AIRTEL MONEY, sasa hapa inakuwaje unaniambia mara ATM mbovu si ufanye transaction uingize kitu mpesa tuendelee kutanua? Au kama umefulia si useme coz najua mshahara mpaka next week, aaagh uongo wote wa nini?
Kama umo humu naomba uione, umenikera sn mambo ya site mimi hayanihusu na ukikuta umeibiwa uanze kulalamika.