Amini usiamini kitenda wawili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amini usiamini kitenda wawili?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MziziMkavu, Feb 21, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  1. Kama hela haioti kwenye miti, kwnn bank zina matawi? 2. Kwnn gundi haigandi kwenye chupa yake? 3. Kama tunatakiwa tusi-drive wkt tumekunywa, kwnn bar kuna parking? 4. Kama neno abbreviation linamaanisha ufupisho, kwnn lenyewe ni refu hvo? 5. Kama tunatakiwa kufanya sex ndani ya ndoa 2, kwnn tunabalehe kabla ya kufunga ndoa? Kazi kwako...
  ================
  Vibweka vya housegirl Mama mwenye nyumba "jamani nyie watoto wa nyumba hii, vijiti vya meno nimeleta juzi tu leo vimeisha?" Ndipo hoousgirl akadakia na kusema "mama mimi simo humo maana kila nikitumia nikimaliza tu navirudishiaga humo humo."
  ================
  Mtoto na babu Babu: Mjukuu wangu, kajifiche haraka haraka mwalimu wako amekuja, umeharibu hujaenda shuleni. Mjukuu: Babu kajifiche wewe maana nimemdanganya umekufa.
  ================
  Taxi Mwanamke aliingia kwnye tax akiwa hana nguo,km alivyozaliwa!Dereva akawa anamshangaa,mwanamke akamuuliza hujawahi kuona uchi au! Dereva akajibu.ninachoshangaa c uchi wako,najiuliza pesa ya kunilipa utakuwa umeiweka wapi?
  ================
  Swali Mzungu mmoja alimuuliza mtanzania mmoja ''nasikia nyie watanzania mkiulizwa swali mnajibu swali, ni kweli?'' Mtanzania naenakajibu, ''aah sio kweli kabisa, nani kakuambia?''
  ================
  Pichu day Leo ni siku ya UVAAJI CHUPI DUNIANI. Watu wote wanasherekea kwa kutaja rangi ya CHUPI aliyovaa leo. Je yako ina rangi gani? Ukikaa kimya maana yake leo hujavaa. Usipojibu maana yake umevaa chupi chafu. Ukicheka utakuwa umevaa iliyochanika. Ukimuonesha mtu hii sms utakuwa umevaa oversize. "HAPPY CHUPI DAY"
  ================
  Tendo la ndoa TENDO LA NDOA LINAVYOOMBWA: WAMASAI: Mama Yeyo nipe ile kitu namesa mwensake WAHAYA: Mama Koku infacti njoo tuperform WACHAGA: Mama Manka Fungua Kibubu nitupe shilingi WAPEMBA: Mama Ali panua paja mti waja! WAZARAMO(hamna tafsida)andaa ka yaja
  ================
  Short na Long Call Kama haja ndogo ni ''short call'' Haja kubwa ni "long call" Basi kujamba iitwe "missed call"
  ================
  Sokwe USA Kwenye zoo moja huko US, kuna sokwe mkubwa ambae alikua ndo kivutio kikubwa cha watalii alifariki, M-Tz mmoja aliajiriwa kwa kuivaa ngozi ya yule sokwe kujifanya yeye ndo sokwe. Cku moja kwa bahati mbaya sokwe huyo aliingia upande wa simba, M-Tz alijua anakufa, akaogopa na akataka kuanza kupiga kelele. Simba alimkaribia huyo sokwe sikioni na kumnongkoneza "ACHA USENG**, TUTAFUKUZWA KAZI"
  ================
  Panya mkali....... Panya watatu walikuwa wanabisha nani ni mkali kati yao, Panya wa kwanza;mi naweza kutegua mitego yote ninayotegeshewa Panya wa pili;ni naweza kunywa maziwa hata yakiwekwa sumu Panya wa tatu akainamisha kichwa na kuanza kuondoka,wenzie wanamuuliza we vipi,akaitikia "mi naenda kufanya mapenzi na paka"
  ================
  Kimombo na sms Jamaa katumiwa msg na dem wake,kutokana na urefu wa msg ikashindwa kufika yote mwishoni ikaandika'some text missing'jamaa kizungu hajui hivyo maneno ya mwisho hakuelewa maana yake lkn akahisi litakuwa neno la kimahaba,kusudi aonekane mjanja akajibu, "some text missing too dear"
  ================
  Singa Singa Singa singa usiku kucha anajamba ovyo kwa kila aina ya sauti Mkewe akamuliza una nini leo? Akajibu natafuta ringtone ya ****** yangu!!!
  ================
  Heshima Mtoto kaona nyeti ya baba yake, Akauliza "nini hii"? Baba,akajibu "ni Heshima", kesho yake wakaja wageni, baba akamwambia mtoto, "toa heshima kwa wageni", mtoto akatoa Nyeti yake, akaonesha, wageni wakashangaa! mtoto akasema "mnashangaa haka kadogo, baba anayo heshima kubwaaa......!
  ================
  Harusini Jamaa mmoja baada ya kumaliza chakula kwenye sherehe ya harusi akapewa kijiti cha kutolea nyama zilizonasa, then baada ya muda akamuita mmoja wa wahudumu na kumuambia "samahani mna zile pamba stick za masikioni? Sikio linaniwasha sana"
  ================
  Mmasai mmoja alienda hospitali kuchoa sindano, alipomaliza akamuuliza nesi asliemchoma sindano, ''we hapana ona tundu huko nyuma mpaka natoboa ingine?''
  ================
  Kwa daktari Kijana mmoja alienda hospitali na hivi ndivyo alivyokua akipewa majibu yake na daktari, ''pole sana ndugu yangu, vile vidoti doti vyekundu kwenye uume wako sio saratani ni rangi ya lipstick. Tunaomba samahani kwa kuikata yote''
  ================
  Kurudi shule Mtoto kamuuliza babake; " Eti baba, Unataka kuanza tena shule? Baba akauliza: "kwa nini Umeuliza hivyo? Mtoto akamwambia: Jana uthiku, nilickia ukimnong'oneza mama" Eti, kama anapenda, Muende la pili..! " Hivi Baba mimi niko la nne wewe na mama itakuwaje mwende la pili? Uthikubali hata kdogo"
  ================
  Padre Muumini: Padri nataka kumwacha mke wangu hajui kufanya mapenzi kabisa! Padri: Si bora mkeo ni nafuu, mke wa mpiga kinanda ndio hajui kitu. Muumini: Heeh! Padri: Mke wa yule mwenyekit wa jumuiya pamoja na **** lake ndio bure kabisaa! anazidiwa hata na Sister leAh! Muumini: Atii? Padri: Actually, kwa hapa parokiani wenye nafuu ni mkeo na mke wa yule mwalimu wa Sunday School, na kwa mbali kale kabinti ka usafi wa sakrastia. Naona hawa ndio wanajitahidi.
  ================
  Mwanaume mmoja alienda bar na mkewe wa ndoa! Punde mume akaenda kaunta kununua vinywaji. Mwanamke mmoja anaejiuza mwili akaenda alipo kaa mke wa jamaa na kumuambia "hakikisha anakulipa pesa yako kwanza kabla ya kufanya nae mapenzi maana hua hatoagi hela"
  ================
  Kizee na Kizee Bibi kizee alipatwa hamu ya kufanya mapenzi akamwomba mmewe ampe huduma hiyo. Mzee akajibu tumesha zeheka kwa haya mambo sina uwezo. Bibie akamwambia basi nilambe lambe tu naniliu yangu. Asubuhi akakutwa mzee amefariki baada ya uchunguzi ikajulikana sababu ya kifo ni alilamba kitu kilichokwisha muda wake.
  ================
  Kampeni za ubunge Mgombea: Ntawajengea daraja... Wananchi: Mzee hakuna mto. Mgombea: Ntachimba na mto mzuri.
  ================
  Mtoto akisali mbele ya wazazi na wageni Ee Mungu nashukuru kwa kunipa wazazi wakarinu, nashukuru kwa kuwaleta wageni hawa waliomaliza chakula changu. Naomba usiwalete tena wakati nwa kula, mbariki huyu kijana aliekua anacheza mieleka na dada kitandani na kumlisha sausage iliyo ndani ya suruali yake. Wabariki wadada walio uchi ndani ya simu ya baba ili wapate nguo, mwisho wabariki wanaume waliokuja kulala na mama wakati baba yupo safariniili wawe na kwao amen.
  ================
  Siri Baba: mwanangu, enhe shika hii 500Tsh usimuambie mama yako kuwa nimelala na housegirl. Mtoto: sitaki, tatizo we baba ni mbahiri sana mwenzio mama akilala na dereva ananipaga 1,000Tsh.
  ================
  Mchaga. Mchaga alipata ajali alipozinduka pale hospitali akauliza "nipo wapi hapa?" Nesi akajibu,"umepata ajali, hapa upo hospitali. Bahati mbaya umekatika mkono." Mgonjwa: Na je saa yangu ipo wapi ya Rolex? Ipo mzee, nesi alijibu. Nesi: Mkeo na watoto wapo hapa kukufariji. Mgonjwa: Yeuwi... Wamefunga duka?
  ================
  » Babu wa loliondo aliwaambia watu wapange foleni ya wenye ukimwi na kisukari, watu wote wakapanga foleni ya kwenye kisukari, babu akasema "basi hii dawa ya ukimwi naimwaga" watu wote wakasema usimwage babu tumejichanganya huku..tutainywa tu.
  ================
  » Wanasiasa 40 walipata ajali mbaya porini mkulima m1 alipoona hivyo alichimba shimo na kuwazika wote pamoja.alipoulizwa na polisi juu ya maiti mambo yalikuwa hivi; POLISI: zipo wapi maiti? MKULIMA: nimezizika. POLISI: unahakika wote walikuwa wamekufa? MKULIMA: kuna wengine walikuwa wanalalamika kwamba hawajafa lakini c unajua wanasiasa walivyo waongo, mi nikajua tu wanadanganya nikawazika wote!!!
  ========
   
 2. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Dah hd nimechoka kusoma,plz kama inawezekana toa kitabu ila angalau kwa siku page 1.
   
Loading...