Maliasili Member Joined Oct 21, 2010 Posts 44 Reaction score 17 Feb 20, 2012 #1 Mlevi alianguka kutoka ghorofa ya 3 mpaka chini. Watu wakaja wakipanic wakamwuliza 'nini mbaya?' akajibu...'hata sijui. Mi pia nimefika saa hii' Ulevi nooooma!:lol::lol:
Mlevi alianguka kutoka ghorofa ya 3 mpaka chini. Watu wakaja wakipanic wakamwuliza 'nini mbaya?' akajibu...'hata sijui. Mi pia nimefika saa hii' Ulevi nooooma!:lol::lol:
egbert44 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2006 Posts 382 Reaction score 59 Feb 21, 2012 #2 Buhahahahahahahahaha! huyo lazima alipiga viloba maana hiyo ganzi yake hakunaga!
Vodka JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 906 Reaction score 96 Feb 21, 2012 #3 Mnh mbona aijawahi nitokea!