...bata.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

...bata..

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mtu chake, Feb 21, 2012.

 1. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,999
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Mimi Bata maarufu, Matope chakula changu,
  Nanijua ni mchafu, Taka nyumba yangu,
  Vipi we maarufu, Uwe rafiki yangu,
  Mimi ni Bata, Mzoefu wa kupata....

  Anaendelea Tena

  Kama huniamini, uliza vijana wa kileo, kila ikifika jioni,
  tukale bata ndiyo pembejeo, hata kama hawana thumni,
  kunitajataja ndiyo tija yao, Penye shangwe na raha, jina langu hung'ara.....

  hahahahahahahaa....Bataaa
   
 2. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mkubwa kwa miondoko hiyo ! Mmmh !
  Inanishawishi siku nikitembelea ugeni kwako na ikibidi nilale nitalazimika wakati wa kulala nitoe suruali zote kwenye bag (hata kama zitakua ziko 6 au 7 ! ) nilale nimezivaa ! Tena inafaa nihakiki wakati naondoka nisipaki suruali za kitambaa ! Ni jeans mwanzo -mwisho ! Kudda'adda'decck
   
 3. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,999
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  hahahahahahahaha...sio hivyo mkuu..hayo mashairi tu
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  Kivu bata wanapatikana......?
   
 5. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ndo wakoje hao?
   
 6. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,999
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Kivu wako ila bata mzinga...vipi uko pouwa lakini?
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  mi mzima wa afya tele.......
  we unapenda kobe....?

   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  Kaba bana....humjui bata....?
  njoo Yaeda nikupe bata bukini wa kwenda kumfuga....
  wanataga mayai yenye ladha ya Ice cream

   
 9. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,999
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Duh..kobe tena...hapana..nipe sifa zake kwanza...
  ila huku kuna sokwe tu..napenda sana kuwaangalia
  hao bata bukini..na hiyo radha ya ice cream..nitayaomba
   
 10. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mhh ice cream tena? Nataka mbegu ya hao bata
   
 11. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,999
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  hata mimi nataka hizo mbegu aisee
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  mbegu ya bukini ina masharti kama dawa ya babu wa Loliondo......
  shurti mje Yaeda......sijui mmenielewa.......
   
 13. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,999
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Cjaelewa kabisa....Fafanua
   
Loading...