Haya sasa soma tukio hili liloikumba kenya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya sasa soma tukio hili liloikumba kenya.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by chachas mchina, Feb 20, 2012.

 1. c

  chachas mchina Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaume wa kenya waunda chama na kutangaza mgomo wakutokula nchi nzima, kisa kuchezea kichapo kutoka kwa wake zao, je? hiyo itakuwa suruhu ya matatizo, au ndo wanajipalia mkaa kuongeza kipigo??
   
 2. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sio wanaume hao nina wasiwasi labda wale wale wa David Cameron
   
 3. c

  chachas mchina Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani hata mimi nilikuwa nawaza hivyo hapo sawa @egbert44
   
 4. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ahaa sio Kenya yote ni kitongoji kimoja,yaani wanapigika vibaya.
   
Loading...