Sijui kwanini hii tamthilia haiishi manake tangu wakati ule naangalia tv kwa mwenyekiti wa kijiji mpaka leo namiliki tv yangu bado imo. Wadau hebu mnijuze hapo imekaa je.
Leo nimekurupuka kwa mbwembwe toka home nawahi job, napanda daladala huyoo. Imefika wakati wa kumpa kaisari yaliyo yake kaisari He! sina vitambulisho wala hela. Yani mifuko kama ya suruali...
Habari,
Leo kuna babu amekuja TBC kwenye jambo Tanzania kulalamikia swala la upatikanaji wa maji huko Tandahimba. Anasema pande zile mkulima haogi siku hata 4 zinapita na maji ya kunywa...
Jina: Jacob Joachim
Mkoa: Kilimanjaro
Wilaya: Moshi
Jimbo: Vunjo
Chama: Chadema
Umri: 22
Napenda usawa
Mimi ni rasilimali ya taifa na hivyo naamini kwamba matumizi sahihi ya rasilimali...
Smiling Saint
JF Senior Expert Member
Send Private Message
User Notes (0)
Find latest posts
Find latest started threads
Likes Received (82)
Likes Given (100)
like ya 101, hebu...
Mmeamkaje?(kwa wale mliolala jana)
leo nimerudi enzi zangu za form one...tulipokua tunalazimishwa kutoa speech asubuhi...mbele ya halaiki...wanafunzi na walimu.
asikuambie mtu shughuli ilikua...
Hii style mpya ya kung'oa vioo vya gari kwenye foleni kweli limekua tatizo sasa hapa mjini dsm. Hivi wanashawishi wenye mali zao kuwatwanga risasi za viuno labda watashika adabu. Tunatiana hasara...
Eti wajameni kwanyi neno PEDESHEE/PAPAA lina maana ganyi maana kitaani madem na wanawake(wake za watu) hupendanga kuniitanga Pedeshee Mkarewenyu ila nashindwanga kuwaelewanga wana maana ganyi.
Mama mmoja akiwa na familia yake akidai kabomokewa nyumba yake kwa upepo mkali, Amezua tafarani ndani ya ofisi za airtel baada ya kulazimishwa kutoka na mlinzi wa ofisi hizo. Mama huyo akirusha...
Akili ya kudhani kuwa wanaume wanaume almost sote twapenda ama kuvutiwa na wanawake weupe! Urembo uliopewa Mungu hajakosea haileti maana kutumia mkorogo nk ili kubadilisha rangi ya ngozi yako...
Hapa ni kwa wale wote wanaofurahia ushindi wa CHADEMA kule Arumeru! Ni wakati wa kujiachia full maswaga mwanzo mwisho. Pamoko sana.
Shouts out to Lusinde teh teh teh....
Kwa kawaida huwa nina desturi ya kutoa zawadi kwa wale niwapendao katika zile sikukuu kubwa za Mwaka kama vile Christmas, Mwaka mpya na pasaka. Lakini zawadi yangu ya pasaka ya mwaka huu nataka...
A man walks into his house with a duck under his arm.
He walks up to his wife with it and says, "This is the pig I've been f*cking'."
His wife says, "That's a duck."
He quickly replies, "I...
wanaume wakiwa wazee wanaitwa Mzee Chizenga,Mzee Klorokwini,Mzee Mtambuzi lakini kwanini wanawake hawaitwi hivyo mfano Mzee Rose1980,Mzee Lizzy,Mzee Ashadii au hata Mzee Josephine03?
Mimi huwa najiuliza sana, kwanini wagogo hawataki kuachana na CCM? Wao ndo wanaongoza kwa kusema nisaidie, sijara na wengine wakijifanya vipofu ili waombe vizuri wakisindikizwa na watoto wao...
Kuna bwana mkubwa amenichekesha sana sasa hivi amesema eti "CCM imewaachia CHADEMA washinde Arumeru ili wahisani waendelee kututumia pesa za misaada, kwa sababu ingeshinda tena wahisani wangeanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.