Mbwiga mbwiguke mkora wa nyani kibwaya mkia unga robo chenji irudi,kama napigaaaaaaa
Anakuambia yeye ni mzaramo halisi kama sketi na blauzi!safari ya kwenda kijijini hafati basi ubungo bali buguruni
Anakuambia yeye ni mzaramo halisi kama sketi na blauzi!safari ya kwenda kijijini hafati basi ubungo bali buguruni
Anajua kudadavua mpira anajitahidi sana na ni kipaji cha kuongea kama wazaramo wengi walivyo.......na mpira anaujua sana kuuhadithia...anatisha ana kipaji na ubunifu kufurahisha wana sports
Asante kwa ufafanuzi MUSSOLIN!ni mtangazaji wa kipindi cha michezo clouds fm
acha uongo mkuu