kizaa zaa, makaratee ndani ya ofisi za eatel

kajoli.com

Member
Mar 4, 2012
42
5
Mama mmoja akiwa na familia yake akidai kabomokewa nyumba yake kwa upepo mkali, Amezua tafarani ndani ya ofisi za airtel baada ya kulazimishwa kutoka na mlinzi wa ofisi hizo. Mama huyo akirusha makonde, kung'ata na kutukana alikuwa akijitetea:- Mimi sina pa kukaa, Bosi wenu kaona ninavyoteseka na amesema mwenyewe kupitia redio yangu hii, Hamia AIRTEL halafu unaniletea usss... ushamba. MH niliondoka eneo hilo kwani mbavu zilkuwa hoi
 
Back
Top Bottom