Rangi za avatar yangu

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
Hah! mie nilikuwa sijui kumbe zinafanana na rangi za kina Nassari!!
 
Cartoon yenewe ya woody jnaonyesha kuwa una akili za kindergarten.

You have represented yourself wonderfully.
 
Cartoon yenewe ya woody jnaonyesha kuwa una akili za kindergarten.

You have represented yourself wonderfully.

aha ha ahah haahah kidogo nibofye pale kwenye report abuse!! hii cartooon sijui siku hizi inaendeleaje!! enzi hizo DTV imeanza....
 
Acha kujifagilia. Hamna lolote.

Naona pia umejitahidi signature yako ina blue ink, quotations nyekundu, na juu maandishi yako ni meusi ilhali board yako ni nyeupe......lol

Sijifagilii ndio ukweli
 
Back
Top Bottom