Wizi wa car accessories unaaenda wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi wa car accessories unaaenda wapi?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by jmnamba, Apr 2, 2012.

 1. j

  jmnamba Senior Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii style mpya ya kung'oa vioo vya gari kwenye foleni kweli limekua tatizo sasa hapa mjini dsm. Hivi wanashawishi wenye mali zao kuwatwanga risasi za viuno labda watashika adabu. Tunatiana hasara sana. Mwingine kaweka ribit jamaa kujaribu kung'oa wakashindwa wakaishia kukivunja... Hebu ona sasa!
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  ....inaudhi sana....
   
 3. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Laumu serikali yako ya magamba, maisha magumu sasa wao wakale wapi ..........
  MP.
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  MP! Mwizi hata umpe Manna na Salwa ! Still yet ataiba tu !
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ukiwa na bastola we uwa tu kwani hawa umuhimu kabisa..
   
 6. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Hii kitu imeshamiri sana foleni ya barabara zote za ubungo, especially ile ya kutoka bgrn...
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwani serikali ina police wa kuuwa wanaodai haki zao na hawana wa kulinda usalama wa mali za wananchi?
   
 8. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  We unataka wakale wapi. Kama vigogo wanakuporea mali zako na hulalamiki. Basi bora wakupore kioo cha gari lako. Wanajuwa utalalamika tu na huna la kufanya.

  CHANGAMKA. USIWE NA KIGUGUMIZI. Angalia wezi waliko na sio vibaka.
   
 9. j

  jmnamba Senior Member

  #9
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanunuzi wa silaha za moto wataongezeka kwa style hii ya kutiana hasara.
  Mpaka siku wang'oe kioo cha gari ya ikulu ndio wajue watu njaa imezidi.
   
 10. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Hiyo haina kulalamika ukimkamata mwizi wako tia kiberiti tu.
  MP.
   
 11. c

  collezione JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  "Ajira ni bomu linalo karibia kulipuka." Haha Huo ni Moshi tu, tunalalamika.

  Ngoja tuwe kama Jamaica. Labda ndo tutaelewa....
   
Loading...