Utambulisho mwanajukwaa.

Jacob Joachim

Member
Nov 24, 2011
27
4
Jina: Jacob Joachim
Mkoa: Kilimanjaro
Wilaya: Moshi
Jimbo: Vunjo
Chama: Chadema
Umri: 22
Napenda usawa
Mimi ni rasilimali ya taifa na hivyo naamini kwamba matumizi sahihi ya rasilimali tulizonazo ndicho kitakacho liondoa taifa hili kutoka kwenye umaskini wa kupindukia na kuwa taifa tajiri.
FOR TANZANIA
FOR CHADEMA.
 
umezunguuuuka....lengo ulitaka tu kutueleza kua ww ni chadema!...kumbuka Jf haina chama!...
 
Karibu kijana naona umri wako ni wa chuoni...

hapa ni JF university,

the Faculty of Social forum,

Department of Chit-chat

HODs watajitaja tuu...

karibu

NB: hapa hatujali sana mambo ya vyama, ila ni kijamii na ki-soga zaidi...vyama unaweza kwenda the Faculty of Siasa
 
karibu sana. pipooooooooooooooooozzzzzzzzz...?????
 
Jina: Jacob Joachim
Mkoa: Kilimanjaro
Wilaya: Moshi
Jimbo: Vunjo
Chama: Chadema
Umri: 22
Napenda usawa
Mimi ni rasilimali ya taifa na hivyo naamini kwamba matumizi sahihi ya rasilimali tulizonazo ndicho kitakacho liondoa taifa hili kutoka kwenye umaskini wa kupindukia na kuwa taifa tajiri.
FOR TANZANIA
FOR CHADEMA.

Kwanza taja "ubini" wako...

Cha pili,mmmhm....

"I hate chit chatted politics" source: Kongosho
 
Jina: Jacob Joachim
Mkoa: Kilimanjaro
Wilaya: Moshi
Jimbo: Vunjo
Chama: Chadema
Umri: 22
Napenda usawa
Mimi ni rasilimali ya taifa na hivyo naamini kwamba matumizi sahihi ya rasilimali tulizonazo ndicho kitakacho liondoa taifa hili kutoka kwenye umaskini wa kupindukia na kuwa taifa tajiri.
FOR TANZANIA
FOR CHADEMA.

Taja "ubini" kwanza...

Halafu,"I hate chit-chatted politics" Source: Kongosho
 
Back
Top Bottom