Morning Speech....!

Morning Speech....!

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
Mmeamkaje?(kwa wale mliolala jana)
leo nimerudi enzi zangu za form one...tulipokua tunalazimishwa kutoa speech asubuhi...mbele ya halaiki...wanafunzi na walimu.
asikuambie mtu shughuli ilikua nzito so mpango mzima ilikua ni kutoka na definitions za masomo...types,branches...nk.!unakesha ukimeza mistari...mara unafika juu ya steji neno moja linaponyoka kichwani...basi ndo mwisho wa speech.teheee!
NB:HII SIO KWA WALE "MUMY UM GOING"...

kwa mfano:

Goodmorning School,
My name is So and So! my morning speech today is about types of government....

Governments can be classified into
several types. Some of the more
common types of governments are:
1. Democracy
The word "democracy" literally
means "rule by the people."
2. Republic
A literal democracy is
impossible in a political
system containing more than a
few people. All "democracies"
are really republic.
3. Monarchy
A monarchy consists of rule by a
king or queen.
4. Aristocracy
An aristocracy is rule by the
aristocrats. Aristocrats are typically
wealthy, educated people.
5. Dictatorship
A dictatorship consists of rule by
one person or a group of people.

THANK YOU (unakimbia speed kurudi assemble grounds)

Ulitoka vipi wewe?...back them days!
 
sasa baaaaaaaaaaas hapa ni school gani......praimare au sekondare ama chuo?
 
usiniambie uko sekondari kamanda! Toa shikamoo kwa mtu mzima hapa.
Dalili zaonesha wewe bado denti.
 
dah...sie za kwetu asubuhi tulikuwa tunaamka na kitu cha majembe....yaani asembly anatafutwa nani hajaenda kulima...'kudadadadeki'


Kamanda wewe tumesoma kipindi kimoja. Dada zetu walikua wakipewa kazi na walimu ya kuuza vibama mapumuziko.
Enzi hizo unalima shamba la shule na walimu.
 
dah...sie za kwetu asubuhi tulikuwa tunaamka na kitu cha majembe....yaani asembly anatafutwa nani hajaenda kulima...'kudadadadeki'

noma!...iyo ni zaidi ya JKT...
 
Kamanda wewe tumesoma kipindi kimoja. Dada zetu walikua wakipewa kazi na walimu ya kuuza vibama mapumuziko.
Enzi hizo unalima shamba la shule na walimu.

Namshangaa BAGAH wanaamkia madefinition sijui maspeech.....chezeya shule ze enzi hizo... na ujua ukishalima shamba la shule kesho yake unaenda kulima shamba la mwalimu!
 
Shabby ntake razi to infinity....

hahahahaa si mchezo

InfinityAnimation.png
 
Namshangaa BAGAH wanaamkia madefinition sijui maspeech.....chezeya shule ze enzi hizo... na ujua ukishalima shamba la shule kesho yake unaenda kulima shamba la mwalimu!

tobaaa!..kumbe mlishakua MAKSAI ya shule mzeiya?...
 
noma!...iyo ni zaidi ya JKT...

sasa huoni kuwa JKT wewe umeifahamu kwa samani tu? enzi hizo ilikuwa JKT hasa,,nashangaa siku hizibadala ya kwata wanatengeneza vitanda na meza....
 
sasa huoni kuwa JKT wewe umeifahamu kwa samani tu? enzi hizo ilikuwa JKT hasa,,nashangaa siku hizibadala ya kwata wanatengeneza vitanda na meza....

umesahau na majiko ya mkaa!..
 
Namshangaa BAGAH wanaamkia madefinition sijui maspeech.....chezeya shule ze enzi hizo... na ujua ukishalima shamba la shule kesho yake unaenda kulima shamba la mwalimu!


kamanda enzi hizo ilikua kama uonevu. Kumbe ilikua inasaidia kupata watoto kakamavu wa kiume.
Wadogo siku hizi wanahasara kama anaweza walau kucheza mpira unashukuru bwana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom