JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu Wenzangu leo hii tarehe 1/04/2012 Asubuhi wakati ninakwenda kazini nimeokota njiani begi lina pesa taslim Dolar laki moja, nawauliza wenzangu je kuna mtu aliyepotelewa na hizo pesa ili...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamaa fulani alikuwa na tabia ya kujamba kwa nguvu kila aamkapo asubuhi. Mkewe alikerwa sana na tabia hiyo, alimkataza akachoka, siku moja akamwonya kuwa iko siku badala ya pumzi, utumbo utakuja...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Binti mmoja alighadhibika baada ya mama yake kumkemea juu ya tabia zake mbaya. Binti yule akaamua kujiua. Baada ya muda babaye alirudi. Mazungumzo yakawa ifuatavyo: baba:Mwanangu yuko wapi...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Cheki hii hapa kitu robot Mke alipoona mme wake ameenda safari ya mbali akaamua atoke nje ya ndoa ili atulize hamu yake,akaamua kumleta mwanaume wake nyumbani,Siku moja usiku mme akarudi kutoka...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
A christian guy asked a muslim guy: 'Why do your females cover up their body and hair?'The muslim guy smiled and took out 2 sweets, he opened one and kept the other one wrapped. He threw them both...
5 Reactions
32 Replies
7K Views
Due to the current financial situation caused by the slowdown of economy, Management has decided to implement a scheme to put workers of 40 years of age and above on early retirement. This scheme...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mshikaji mmoja alikuwa na dingi wake, akamwona demu wake anakuja, bahati mbaya dingi alikuwa mkali sana na mazungumzo yao yalikuwa hivi... MSHIKAJ: Umekuja kuchukua kile kitabu cha speak english...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Siku moja baada ya kupata chakula cha mchana "baba Chanja na mama Chanja waliamua kubadilishana mawazo kama ifuatavyo. Baba Chanja:hivi mama Chanja mimi nikifa leo au kesho jee utaolewa na...
0 Reactions
19 Replies
8K Views
ingekuwaje mtu angekula kutokana na mazingira ya kazi yake kama vingekuwa vinalika. KATIKA UJENZI. Menu .supu ya tofali .saruji ya kukaanga .kokoto za ku rosti .sururu ya kuchoma .mseto...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ziro aliulizwa swali: Unafahamu tawi la CRDB bank AZIKIWE? Ziro akajibu: "Nafahamu CRDB tawi la AFUFULIWE tu.
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Je reli na alama ya reli # kipi chakwanza??
0 Reactions
8 Replies
2K Views
check conversation ya mwalimu na mwanafunzi alafu ungekua wewe ndo mwalimu. Mwalimu:kati ya akili na hela unachagua nini, mwanafunzi:mimi nachagua hela mwalimu: huna akili kweli mimi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hey U Know Which is the best day to propose a girl? April 1 U Know Why?? If she accept its your luck otherwise just tell April Foooooll
0 Reactions
7 Replies
1K Views
1.Ujasiri si kuzuia moyo usidunde,ni kumuonesha adui yako huogopi. 2. Ujasiri ni kukemea maovu ya serikali huku ukitumia ID halisi(kama mimi). 3. Ujasiri ni kujitahidi kuongea kwa confidence...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Napenda hamii forums isingekuwepo mnisameheee Napenda watu wote wangekuwa wchina mnisameheeeeeee ............…….… mnisameheeeeeeee
0 Reactions
58 Replies
7K Views
Shakira alimnunulia mtoto wake wa miaka 6 hivi kigari cha kuchezea chenye muundo wa basi. Siku moja wakati Shakira yupo jikoni mwanae alikuwa sebuleni anachezea kile kigari. Shakira akawa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Subirini kidogo naongea na simu......:cell::crazy:
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kilaza aliamua kutokwenda shule lakini ili kuepuka na adhabu kali ikabidi atumie ujanja. Kilaza aliamua kupiga simu kwa mwalimu mkuu na kujifanya yeye ni Baba Kilaza hivyo alikuwa anamwombea...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi tunawezaje kuishi kwa matumizi yafuatayo kila mwezi? Fikiri, matumizi nyumbani: chakula, umeme, gesi, maji, soda/juisi za wageni. Ada za watoto zinazolingana na za chuo kikuu. Matibabu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna mmoja kanikosakosa eti NMB bank ya kwetu (nakoganga) imeungua.. Mi nimemkosa "mjinga wa leo",nilimwambia awashe TV aangalie kwani Rais Obama kafariki,akastuka! Akacheka sana..
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom