Maisha Haya!

PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,997
1,997
Leo nimekurupuka kwa mbwembwe toka home nawahi job, napanda daladala huyoo. Imefika wakati wa kumpa kaisari yaliyo yake kaisari He! sina vitambulisho wala hela. Yani mifuko kama ya suruali inayotaka kufuliwa!Ikabidi nimnong'oneze konda we mwanaume mwenzangu huwa unayajua haya mambo ya stess... Konda akanichunia kiutu uzima. Dereva akataka kutupitiliza kituo, ile nataka kuwaka tu! nikakumbuka ikabidi niwe mdogo kama piriton...
Asante Cantalisia kwa 'Be nice to people on your way up...'
Sasa hivi sijui naendaje home. wana Jf michango yenu plizz hata kwa tigo pesa...Nikifika kwenye ufalme wangu huko kwa nyumba ntawaandikieni japo petty cash voucher...mwenye moyo ani pm ili nimtumie namba yangu ya simu
 
hapo ulipo kuna M-pesa...nataka nikutumie kwa njia iyo...tigo situmii!
 
Khaaaaaaaaaa!

Pole mwaya,ongea na mhasibu hapo job kwako akutoe tu km vipi!!!
 
hapo ulipo kuna M-pesa...nataka nikutumie kwa njia iyo...tigo situmii!

Dogo mtandao umekulea muda wote ukiwa shuleni leo hii unaukana hadharani tena kwa mbwembwe?
 
Kopa ofisini. Mhasibu atakuandikia petty cash.

Au walk home. It will be good for your health. Some people mister......................!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kaka mkubwa angalia usijekuwa unasuggest mtu atembee toka posta hadi boko
 
Back
Top Bottom