Nataka kutoa zawadi maalum kwa ajili ya sikukuu ya pasaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kutoa zawadi maalum kwa ajili ya sikukuu ya pasaka

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Michael Amon, Apr 3, 2012.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Kwa kawaida huwa nina desturi ya kutoa zawadi kwa wale niwapendao katika zile sikukuu kubwa za Mwaka kama vile Christmas, Mwaka mpya na pasaka. Lakini zawadi yangu ya pasaka ya mwaka huu nataka niielekeze JF. Ningetamani kuwapa wana JF wote zawadi lakini bahati mbaya uwezo hauniruhusu kufanya hivyo. Nikisema nimchague mmoja wa kumpa hiyo zawadi wengine watasema nimependelea. Sasa ili nitende haki katika kutoa zawadi hiyo nimeona bora nitoe competition. Ili uweze kupata zawadi hii unatakiwa uniambie maneno mazuri, matamu, yatakayonifurahisha ambayo unadhani siajawahi na wala sitowahi kuambiwa na mtu yoyote katika dunia hii. Shindano hili lipo wazi kwa members wote wa JF na mwisho wa shindano ni tarehe 8th April. 2012. Vigezo na masharti kuzingatiwa.


  E-mail: meezy@youngmaster.co.tz
   
 2. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  ANGALIZO: ukitongozwa using'ake
   
 3. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Ha ha haaaa!!! Halafu swala halikunijia kabisa akilini. Anyway siwezi kung'aka cuz tayari nimeshatoa ruhusa.
   
 4. D

  Don Calvino Senior Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nakushauri uende Corner Bar pale sinza Africa sana, pale matatizo yako yote yataisha.
   
 5. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Nani kakwambia kuwa mimi nina matatizo? Any bya the way mimi siishi Dar.
   
 6. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ....mwanaume unataka upewe maneno matamu!...hii imepinda!
   
 7. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #7
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Wewe huoni kama imenyooka hii mkuu?
   
 8. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Please dont.....!!!!!!!!!!

  Why should you?
   
 9. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #9
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Should what?
   
Loading...