Party

Party

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,487
Reaction score
145,825
Hapa ni kwa wale wote wanaofurahia ushindi wa CHADEMA kule Arumeru! Ni wakati wa kujiachia full maswaga mwanzo mwisho. Pamoko sana.

Shouts out to Lusinde teh teh teh....

 
Last edited by a moderator:
pamoko sana...ila mkuu nilikujibu kuhusu NYAU..sasa hujaniambia kama nilikua sahihi
 
pamoko sana...ila mkuu nilikujibu kuhusu NYAU..sasa hujaniambia kama nilikua sahihi

Karibu yakhe....kuna Bacardi Limon, Patron Tequila, na mazagazaga mengine bwerere. Jiachie kama uko kwako.
 
Karibu yakhe....kuna Bacardi Limon, Patron Tequila, na mazagazaga mengine bwerere. Jiachie kama uko kwako.

Just gimme two shots of Tequila.. Btw hongereni sana kwa ushindi!!!
 
Hongereni sana

Mie sikuwa mshabiki wa kokote, nilikuwa naangalia Movie tu.
Ila Lusinde is a me.ntal case!
 
Karibu yakhe....kuna Bacardi Limon, Patron Tequila, na mazagazaga mengine bwerere. Jiachie kama uko kwako.

mie mtu wa Konyagi..au Jacky Daniel...cjaziona
 
watanzania leo wamefurahi utadhan ndio wamepata uhuru lolz!
huu ni mwanzo tuu 2015 sijui itakuwaje.... pipozz pawaaaa 4eva!
 
mie mtu wa Konyagi..au Jacky Daniel...cjaziona

bebii....wewe si unakunywaga hizi....hiyo taputapu umeanza lini....?

303454_316121558440915_100001292218355_776605_1503123630_n.jpg
 
Yaani mida hii hangover imenizidia..
Kweli Chadema wametupa raha ndani ya roho!!
 
konyagi siku moja moja tu..bebi...siunajua tunakuza uchumi wa ndani
 
bebii....wewe si unakunywaga hizi....hiyo taputapu umeanza lini....?

bebi..mbn hujaiweka Jacky Daniel's...?...wewe unakuja katika Party?..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom