Isidingo-The need | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Isidingo-The need

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Pure Mathematics, Apr 3, 2012.

 1. P

  Pure Mathematics Senior Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 174
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sijui kwanini hii tamthilia haiishi manake tangu wakati ule naangalia tv kwa mwenyekiti wa kijiji mpaka leo namiliki tv yangu bado imo. Wadau hebu mnijuze hapo imekaa je.
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,215
  Likes Received: 10,577
  Trophy Points: 280
  imekaa vyema!
   
 3. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mh..imekaa kiupandeupande kwa mtazamo wangu..
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  hiyo huwa haishii kama kande.
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hii ni tamthilia ya maisha ya kila siku ndio maana iko hivyo..
   
 6. P

  Pure Mathematics Senior Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 174
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  .
  Una utani na wapare
   
 7. P

  Pure Mathematics Senior Member

  #7
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 174
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  .
  Kwani hizo nyingine ni tamthilia za maisha ya siku moja moja au..
   
 8. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tamthilia hii hata prof. Jay ameikuta wakati anaingia kwenye fani. Unaikumbuka ule wimbo wa Bongo Dar es salaam? Hebu kumbuka kipande hiki "mambo ya ISIDINGO watu mkononi wana Nokia Ringo, huwezi kujua yupi mtoto wa geti yupi changu. Wote wanameremeta kama mamtoni mwanangu"
   
 9. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mkuu niliulizaga swali hili humu ndani nikaishia kupewa madongo,mie inaniboaa basi tu.
   
 10. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,729
  Likes Received: 8,313
  Trophy Points: 280
  Hivi imeizidi THE BOLD AND THE BEAUTIFUL!??
   
 11. P

  Pure Mathematics Senior Member

  #11
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 174
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  .
  Vitu vingine unapotezea tu mkuu. Si unajua wengine humu ni wale wa chama cha mkuu wa kaya wanakua na jazba kila wakati..
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ha ha ha, wapare watani dhangu.
  Na kande dhao nadhipenda thana.

   
 13. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #13
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Mi hiyo tamthilia inaniboa kinoma!! ..... nayo imezidi kuwa ndefu kama nanihii ya mandingo.
  MP.
   
 14. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahaha! Wana jazba kisa nini?
   
 15. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  vipi "the young and the restless" huwa inaisha?
   
Loading...