button gani ni ya AC

bg_dg_dy

JF-Expert Member
Feb 27, 2009
604
490
Kati ya hizi naombeni msaada tafadhalini
 

Attachments

  • abechede.jpg
    abechede.jpg
    30.8 KB · Views: 46
Mh! hizi habari za kubonyeza vidude nsivyovijua ndo mwanzo wa kutia aibu kuwa sijui chingereza
 
Kati ya hizi naombeni msaada tafadhalini

Mkuu hiyo ya duara,hapo kwenye rangi ya blue kuna selection yaani handler ya kuzunguusha. Kama ni wakati wa baridi kali nawe unataka joto unazunguusha mpaka kwenye red basi ndani kuna kuwa na joto. Mkuu siku hizi magari yanakuja new model kila kukicha huna budi kuuliza hasa kama halina menu yake.
 
Kama hujui kuwa symbol ya snow ina maanisha AC basi rudi shule kajifunze symbols upya.

Lakin by proscess of elimination, waweza jaribu moja baada ya nyingine mpaka utaipata. Good Luck.
 
AC haiwezi kufanya kazi bila ya feni hivyo unatakiwa uwashe kwanza feni ndipo uwashe AC. Kwa kuangalia kwa haraka haraka nadhani button hiyo ya kuzungusha ndio button ya feni halafu button ya AC ni hiyo iliyochorwa nyota ambayo inamaanisha ubaridi.
 
hebu zirebo kwa namba nikutajie coz hapo kuna feni na ac/air condition.
 
hebu zirebo kwa namba nikutajie coz hapo kuna feni na ac/air condition.

Okey hapa nimekupata, to get AC circulation si unapashwa uweke ON the fan button? Au uweke on both buttons?

By the way which is the fan button and which is the AC button between the two!
 
Back
Top Bottom