Kuna babu katokea Tandahimba Jambo Tanzania -TBC

Maundumula

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
7,553
3,068
Habari,

Leo kuna babu amekuja TBC kwenye jambo Tanzania kulalamikia swala la upatikanaji wa maji huko Tandahimba. Anasema pande zile mkulima haogi siku hata 4 zinapita na maji ya kunywa unayafuata kilometa 15, ni hatari!

Imagine wewe leo tukutupe Tandahimba uta survive?
 
Nini kutooga siku4, watu hawaogi mwezi! wengine hawaogi kabisa....Kaka Tanzania hii huko hakuna shida kabisa...! Mshukuru Mungu unaishi town ambako kuoga ndo mpango mzima...
 
Kwa Dar ukikaa siku 4 bila kuoga, lazima uzalishe kiwa nda cha ama mbolea amba dawa ya kuua wanyama waharibigu kwenye mazao.

Kwa mikoa yenye baridi, aah poa tu.
Watu wanaosha kwapa tu wanakata 2 weeks na maji yapo.
 
Mimi nita wapatia maji mtiririko. Mbona yako mengi sana..!!!!!!!

Visima virefu ndiyo dawa yake. Lakini nani atachimba? Awachimie wananchi si atachekwa...!!!!!!
 
Kwa Dar ukikaa siku 4 bila kuoga, lazima uzalishe kiwa nda cha ama mbolea amba dawa ya kuua wanyama waharibigu kwenye mazao.

Kwa mikoa yenye baridi, aah poa tu.
Watu wanaosha kwapa tu wanakata 2 weeks na maji yapo.

khaa....ina maana hakuna sehemu nyingine ya kuosha....?
masikio....macho...hayaoshwi....?

Kwa Dar ukikaa siku 4 bila kuoga, lazima uzalishe kiwa nda cha ama mbolea amba dawa ya kuua wanyama waharibigu kwenye mazao.

Kwa mikoa yenye baridi, aah poa tu.
Watu wanaosha kwapa tu wanakata 2 weeks na maji yapo.

Hapa Dar ukipiga passport size ni noma itaku cost, utashangaa siti yako hamna anayekaa watu wanasimama.
 
Huko ndiko tutaplan kumuhamishiwa yule msimamizi wa uchaguzi wa Arumeru akaipate fresh
 
Kwa Dar ukikaa siku 4 bila kuoga, lazima uzalishe kiwa nda cha ama mbolea amba dawa ya kuua wanyama waharibigu kwenye mazao.

Kwa mikoa yenye baridi, aah poa tu.
Watu wanaosha kwapa tu wanakata 2 weeks na maji yapo.

hii kali
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom