Maradona Kocha mpya Argentina national Team | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maradona Kocha mpya Argentina national Team

Discussion in 'Sports' started by Albedo, Oct 31, 2008.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Gwiji la Soka Duniani, Diego Armando Maradona anatarajiwa kushika Mikoba ya kukinoa kikinoa kikosi cha timu ya Taifa ya Argentina kuelekea Kombe la Dunia 2010 nchini Afrika ya Kusini.

  You can imagine, akina Messi, aguero, Riquelme kwenye Bench la ufundi akiwemo El' Pibo mwenyewe
   
 2. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2008
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,268
  Likes Received: 4,238
  Trophy Points: 280
  Sijui kama ataweza hiyo kazi
   
 3. Manda

  Manda JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 2,075
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Sio tu kuweza, kama hata wavuruga wachezaji wake pia na midudu yake ile, his appointment imekuwa more emotional that rational reality..!, sijui!!
   
Loading...