TFF na makato ya mechi, nini hatima ya timu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TFF na makato ya mechi, nini hatima ya timu?

Discussion in 'Sports' started by Orkesumet, Nov 2, 2008.

 1. O

  Orkesumet Member

  #1
  Nov 2, 2008
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 75
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Nimeshitushwa na makala mbalimbali kwenye magazeti ya wiki kuhusiana na makato ya mechi mbali mbali kwenye ligi ya vodacom. Mfano katika mechi ya Simba na Yanga, TFF wamechukua Shs 43m ili kufidia gharama za mchezo halafu timu zikaambulia Shs 41m each? Huu si unyonyaji? kwanza ukiangalia watu walijaa zaidi ya viti vya uwanjani, hizo tiketi za ziada zimetoka wapi? Hivi wawakilishi wa timu kwenye TFF hawajaliona hili?
   
Loading...